
lirik lagu by monica bulali - nakutegemea
Loading...
uliye mwanzo nakutegemea
uliye mwisho nakutegemea
uliye alpha nakutegemea
uliye omega nakutegemea
bwana
nakutegemea~2
yesu
nakutegemea~2
uliniumba nikuabudu ewe bwana
tegemeo la maisha yangu ni wewe yesu
umenisamehe dhambi zangu messiah
umenisafisha ukaniokoa mwokozi w~ngu wee
kama sio mungu w~ngu ningekuwa wapi
kama sio wewe yesu w~ngu ningeenda wapi
mimi siwezi bila wewe jehovah
mimi siwezi bila wewe yesu
nakutegemea~4
upendo wako ewe yesu ni wa ajabu
ulikufa msalabani kwa ajili yangu
kwa mapigo yako yesu nimewekwa huru
umeniokoa ukanikomboa messiah
kama sio wewe yesu w~ngu ningekuwa wapi
kama sio wewe yesu w~ngu ningeenda wapi
mimi siwezi bila wewe bwana
mimi siwezi bila wewe yesu
nakutegemea~4
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu tana - pink uzi
- lirik lagu space age dream boy - insomniac
- lirik lagu zaryadark - paralizovan
- lirik lagu missinqmalikk - get rich
- lirik lagu vilma jää - syntymistään sureva
- lirik lagu benn - afraid of living
- lirik lagu wine lips - derailer
- lirik lagu marcelo seixas - ciranda
- lirik lagu kroon - punto y final
- lirik lagu a.k grey - prospect