lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu bwana misosi - nitoke vipi?

Loading...

[instrumental intro: bwana misosi & hard mad]
[drop]
yeah, mon, ‘majani
bless wote wanaojitahidi, jah (yeah mon)
man dem wote wasio penda maendeleo,(yeah mon have mercy ), nitoke vipi, misosi?,(misosi nitoke vipi?), blaze it!

[verse 1: bwana misosi]
misosi nitoke vipi?, na fani, tathmini ya ndani (kina), sitaki ulimbukeni, nataka kuuza dukani (poa, sokoni)
hawa ni baadhi waliopanda chart nchini, na huu ni upeo w~ngu tu, nitoke namna gani, nasema upeo w~ngu, nitoke namna gani?
enzi zile n~gga jay alikuja na chemsha bongo, cheo kapanda professor jay ana~make bingo
misosi nitoke vipi sasa, au nitoke na dongo? (no)
afande,mkuki moyoni, morogoro umemuingia, na [?] marehemu wanamlilia
k~south toka kenya, ‘hivi ni wasanii?,(labda), nadhani wamekuja si kwa sanaa bali utalii

[chorus]
bwana misosi sa naimba
nitoke vipi?
siku nyingi najiuliza,
nitoke vipi?, ndani ya rap game, nitoke vipi?, mpate kunielеwa, hey
bwana misosi sa naimba
nitoke vipi?
siku nyingi najiuliza,
nitoke vipi?, ndani ya rap gamе, nitoke vipi?, mpate kunielewa, hey

[verse 2]
wagosi wa kaya, wazee wa ndima na kesi ya mkoa (koa), tanga kunani, kama utani ikawatoa (duh!)
misosi nitoke vipi, ki makabila au nitaboa?
barua na kamanda, kilio cha daz nundaz (poa), wamelia, wamesikika, na chart nao wakapanda
kasikika solo thang, “mambo ya pwani”; mwanazuoni alio komaa sasa anabana dukani, wakati gangwe mob wanacheza rap katuni
mike t “mnyalu” na nampenda, naye aka~win [?]
mzee wa kidali poh, mr.nice, sasa uwanjani
misosi nitoke vipi nami nikae kileleni [?], mkongwe mr. bob, si zuwena, akamkimbia
“mwanangu huna nidhamu”, ni upande wake dudu baya, anapanda chart demu, anampenda hata ni mbaya
misosi nitoke vipi?, sasa na staili ya kihaya
dr. [?] nipe simu, nimuulize baba ubaya
[chorus]
bwana misosi sa naimba
nitoke vipi?
siku nyingi najiuliza,
nitoke vipi?, ndani ya rap game, nitoke vipi?, mpate kunielewa, hey
bwana misosi sa naimba
nitoke vipi?
siku nyingi najiuliza,
nitoke vipi?, ndani ya rap game, nitoke vipi?, mpate kunielewa, hey

[verse 3]
okay, zeze, amewapigia t.i.d. wakamsikia (sawa), chart ikapanda sa mashabiki wanamzimia
wazee wa hard~core, wateule na “watu kibao”(bao), ki~mature, wanachana wanapata mafao
machozi yakamtoka, yakamtoa lady jay dee (komando), kwa sasa ana vinjari na “wanaume kama mabinti”
misosi nitoke vipi, sasa na nyimbo ya kibuti (yes), nataka mtazamo na mawazo yenu mashabiki
mmaasai ndio imemtoa mr.ebo shimoni, haitoshi anapiga na gwanda za kimaasai stejini
ki “ghetto, ghetto”, ndio nyimbo nature ikamtoa (kiblah), mpaka “sitaki demu” na “ugali” ameupakua
misosi nitoke vipi, sasa na staili ya kulia (toka)
mie na mabinti, mwana f.a. katoka “ingekuwa vipi”, kwake a.y. ni “raha tu” hajui kaniki (a.y.)
hadi johnny walker mlevi, game ametusua (mama yangu), [?] changanya jay moe “mvua na jua”
misosi nitoke vipi, na [?] kuongea (sema)
dully “mr. misifa”, mwanasesere ikamtoa
“nini mnataka mazee”, big black akatoboa
au aimbe [?] ka hard~mad mtamtambua?
sugu ni mkongwe, kastaafu tena kwa heshima (oh, yes), wabongo wamemchoka na kimtindo wamemtema, wasanii wote wa juu, tazameni mapema (woo!), msije sema, ‘oh, oh, mkaleta lawama, nasema msije sema, ‘oh, oh, mkaleta lawama, mlio kwenye chart, bwana misosi naomba site (site), hata mkibana (bana), ntawavuta tu mashati (shati), nguvu sina (sina), nitawadondosha tu kwa mic (mic), nguvu sina (sina), nitawadondosha tu kwa mic
[chorus]
bwana misosi sa naimba
nitoke vipi?
siku nyingi najiuliza,
nitoke vipi?, ndani ya rap game, nitoke vipi?, mpate kunielewa, hey
bwana misosi sa naimba
nitoke vipi?
siku nyingi najiuliza,
nitoke vipi?, ndani ya rap game, nitoke vipi?, mpate kunielewa, hey

[instrumental outro]


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...