lirik lagu buruklyn boyz - usikam hii section
[intro]
uh, 58 flavour
(oh my god phill!)
nimekuwa busy kwa block adi nimesahau kuenda kwa studio
all day tuki tafuta juliet, ju, tuko na romeo
ni ma ups and downs, ni ma ups and downs
manze ni movie yoh (kwani ni kesho?)
[chorus: mr right]
uh, nimekuwa busy kwa block adi nimesahau kuenda kwa studio
all day tukitafuta juliet, ju tuko na romeo (juliet ju)
ni ma ups and downs, ni ma ups and downs
manze ni movie yoh
na u~tune hio radio man, na uongeze volume kwa stereo
nimekuwa busy kwa block (block)
adi nimesahau kuenda kwa dencho (dencho)
buruklyn boyz tunadrop mabomb
bro, wana request ma session (session)
nimechoka joh kutajwa daily gram, wana ni mention
58, 58, tano nane man, usi come hii section, usi come hii section
[verse 1: mr right]
huh, 58 ain’t safe (safe), usicome hii section, yaani, tano nane ain’t safe (safe), usi come hii section
niliachana na ma minutes fam’, me hu deal na ma seconds
hawa ma opp wana bad intention, funga mdomo usicatch infection
niko stu’ na ma bro wa mine, ma shining star tunaji see kwa telly
tomorrow kuna brighter days, just wait, we gon’ fly on a h~lly
big boys tuna switch ma celly (celly)
upuzi hauskii ndo sipendi (nah)
unapenda hupendi?
baby girl ame fumble na hasemi
so nimekuwa busy kwa block (busy kwa block)
ku call sana na unapigwa block (unapigwa block)
huwezi tupata kwa hio stop
niko studio na record, busy kwa block, busy kwa block, huh
(kwani ni kesho?)
[chorus: mr right & ajay, both]
nimekuwa busy kwa block, adi nimesahau kuenda kwa studio
all day tukitafuta juliet, ju, tuko na romeo
ni ma ups and downs, ni ma ups and downs
manze ni movie yoh
na u~tune hio radio man, na uongeze volume kwa stereo
nimekuwa busy kwa block (block)
adi nimesahau kuenda kwa dencho (dencho)
buruklyn boyz tunadrop mabomb
bro, wana request ma session (session)
nimechoka joh kutajwa daily gram, wana ni mention
58, 58, yoh, tano nane man, skia, usi come hii section, usi come hii section
[verse 2: ajay]
baby girl, i’ma get you the product (i’ma get you the product)
’cause, i’m proud of you
and the way i adore you girl ahh, i’ma dear you
i want cash see a million views (my prob’)
“east mpaka london” i’m making’ moves (bad moves)
bad b amebeba goods (joh)
bad b na anask~ma goods (ma prada)
not ll cool j yoh, but i’m cool with it
two chainz on my neck uh, silver ni mbili (bling, ching)
she got legs on my neck, yoh, give her s~xual healing
bad b’s wako out here tripping, they can never have man simpin’
anapenda designer versace, prada, louis, gucci (holla them, holla them)
nine to five, hujui
na ball ka bayern munich (na ball)
ki german fast and fury
na avoid ma~case na jury
ka si trap i’m making music (cash)
[chorus: mr right]
nimekuwa busy kwa block adi nimesahau kuenda kwa studio
all day tukitafuta juliet, ju, tuko na romeo (juliet ju)
ni ma ups and downs, ni ma ups and downs
manze ni movie yoh
na u~tune hio radio man, na uongeze volume kwa stereo
nimekuwa busy kwa block (block)
adi nimesahau kuenda kwa dencho (dencho)
buruklyn boyz tunadrop mabomb
bro, wana request ma session (session)
nimechoka joh kutajwa daily gram, wana ni mention
58, 58, tano nane man,usi come hii section, usi come hii section
how?
[outro: mr right & ajay]
how?
kwani ni kesho?
skia, best rapper wao
58 flavour
tano nane
m.r r.i.g.h.t
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu tainá costa & mc fioti - tarada
- lirik lagu ohwit - wr3ck
- lirik lagu luis fercan - montera
- lirik lagu delta spirit - pick it up
- lirik lagu semi jaupaj - ani
- lirik lagu middle child - meditate
- lirik lagu doly flackko & dreiko - skinny
- lirik lagu greta (dnk) - stranger
- lirik lagu ishihara - life after the party
- lirik lagu g sciamano - gyutaro