lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu buruklyn boyz - machete

Loading...

[hook: mr right]
kwani ni kesho?
mi ni boy wa kismart na
ganji ziko m~pepe
nadai kuongezea chain na
juzi nimebai mapete
na~na nikiingia kwa track
si unajua ye hukuwa on teles
drip inakata, shing! shing! kama machete

sema boy wa kismart na
ganji ziko m~pepe
nadai kuongezea bling na
juzi nimebai mangoto na nimengojea
magrills najua zitakuwa zinamezesha
expensive smoke
style tunawasha huskii zinamezesha

[verse 1: ajay]
na siku hizi si bongi mob
nawacha doh yangu itete
mi sibishani nao
nawacha doh yangu icheke
siku hizi ni mathao
ngwai sivuti hata ya chwepe
ile time mi hukuw~nga mfunny
saa ile nachekesha kichele
unadai nikuwеke verse
itabidi ulipе na dolare
sikatai either way weh ni mdeadly bar
huwezi shindana na kochari
acha watoi warespect their parents
unajua kina nani ndio their daddy
uno mpenda magunga sijaicheza na unga
niko juu na hazijashuka wananitest sijashtuka
tuna nyamba wana nusa
na shine kaa kipara ya alusa
[hook: mr right]
mi ni boy wa kismart na
ganji ziko m~pepe
nadai kuongezea chain
na juzi nimebai mapete
na~na nikiingia kwa track
si unajua ye hukuwa on teles
drip inakata shing! shing! kama machete

sema boy wa kismart na ganji ziko
m~pepe nadai kuongezea bling
na juzi nimebai mangoto na nimengojea magrills
najua zitakuwa zinamezesha
expensive smoke leo
tunawasha huskii zinamezesha

[vers 2: mr. right]
(la~la~la~la~la~la~la)
leo tunawasha huskii zinamezesha
bling nimepiga inamezesha
naskia inateleza bad b
wako kando wanachezesha
hiyo dogo inamezesha
ma~neighbours wanatetesha
nikikanyaga booth machine
maboy wanamezesha
[hook: mr right]
mi ni boy wa kismart na
ganji ziko m~pepe
nadai kuongezea chain na
juzi nimebai mapete
na~na nikiingia kwa track
si unajua ye hukuwa on teles
drip inakata shing! shing! kama machete

sema boy wa kismart
na ganji ziko m~pepe
nadai kuongezea bling na
juzi nimebai mangoto na nimengojea
ma grills najua zitakuwa zinamezesha
expensive smoke leo tunawasha huskii
zinamezesha


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...