lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu boutross - next

Loading...

intro: boutross
aay
aay aay aay aay
let’s get it let’s get it let’s get it
i just say it i just say it
yea
yea aay

prechorus: boutross
mpoa alinitoka ka nimehamia next
mzinga ililand kama nimefungua ya next
kutoka this week niko lit hadi next

chorus: boutross
ka hupendi hizo ngoma zangu finya next
next next next next ka hupendi ngoma zangu finya next
next next next next

verse 1: jovvie jovv
ka hujui ujue sahii ni shrap over the rest (yea)
wapoa wamekaa kejani wamesema wanataka best (best)
sisi ndio kusema south, east, north, west (wеst)
niaje hizi mtaa wasee wanyonge ndio wanaflex (ooh)
acha kutu tеst huskii utaamka na ma dent
ex ananitext nilimtoka juu ya ku vent
broski ana simp kwa dm aliacha scent (aliacha aay)
kwa rap game shrap ndio the missing element
verse 2: boutross
cheki
una tumbo biggy na una starve ka the rest (woah)
kwani una dish nini? aje keja wewe ndio guest (guest)
unadunda east bouty niliamkia west (west)
ndani ya toyota na inafeel kama lex lex lex lex lex

prechorus: boutross
mpoa alinitoka ka nimehamia next next next next next (uh huh)
ka hupendi hizo ngoma zangu finya next

verse 3: boutross
huu mpoa ako dead na ananipea head (uh)
sijui nimemtoanga wapi nilikuw~nga westy last weekend (woah)
juzi nlikuw~nga trap matawi za khat tun~z~blend (blend)
weh nikifade sare kupretend (aay)

verse 4: boutross
cheki, siwezi kudrop juu ngata imepanda (panda)
alipagawa (aje) vile alicheki niko london (london)
ufala ni tiktoker nimsmamishe place nimwonyesha balance (balance)
na me niko doo kuliko msee amekula ma masters (yea yeaaa)

prechorus: boutross
mpoa alinitoka ka nimehamia next
mzinga ililand kama nimefungua ya next
kutoka this week niko lit hadi next
chorus: boutross
ka hupendi hizo ngoma zangu finya next
next next next next
ka hupendi hizo ngoma zangu finya next
next next next next next
ka hupendi hizo ngoma zangu finya next

outro: boutross
woah
yea yea


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...