lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu boutross - ithaa

Loading...

yea, ayy

[verse 1: boutross]
sipendi hizo form kwani
juu morio alishikwa na mali mtaani akirombosa ngoko flani
chali alitry kusema hajui ni ya nani (nani)
k~mbe huyo ngeus alikuwa asha mseti
boy alishindwa ni gani, ndo maana huwezi nipata na ngeus anaitw~ngwa nyokabi
story za nyoka ndio staki (sitaki)
naskianga siku hizi vijana wameshika, nashindwa wameshikia wapi
mi nauliza tu mara ngapi tumeingia stage tukaangusha mabati, yoh
there’s too many fish in the sea, ni sawa kuna shark na kuna tilapia
kuna wenye hukulanga vifiti vibaya, na kuna wenye hukulanga mafi
[chorus: boutross]
niko ithaa ayy
vile itakuja haina worse, ayy
ashaniambianga ni sawa (sawa)
nikamwambianga reverse (reverse, ayy)
ok what haaa!
drop it like baby a sl~t (sl~t)
akaniambianga ni sawa (ni sawa)
nikamwambianga reverse (reverse, huh)
niko ithaa ayy
vile itakuja haina worse, ayy
asha niambianga ni sawa (sawa)
nikamwambianga reverse (reverse, ayy)
ok what haaa!
drop it like baby a sl~t (sl~t)
akaniambianga ni sawa (ni sawa)
nikamwambianga reverse (reverse, huh)

[verse 2: dope~i~mean]
kuna sos flani mtaani ana gari lakini yu dedi mamboch
ata nashindwa ni aje i thought, ukiwa na ganji maskimbi huflock
so mi na wife wake hupiganga shower
mangware akichuck tuko ndani ya bafu
kwenye wasafi na chezanga chafu
so nina nguna wawili watatu, inanishinda mathafu
heeee!
maskani nakunyw~nga uji ya njoti
mi ndio kunyamba kusema kwa ploti
niite alibaba juu geri ni forty
ata joh jaba ikishika sichochi
fika kahawa ukule makofi
ukiingiza baridi joh shika kikoti
juu mi ni mkali utakula maswaki juu niko—
[chorus: boutross]
niko ithaa ayy
vile itakuja haina worse, ayy
ashaniambianga ni sawa (sawa)
nikamwambianga reverse (reverse, ayy)
ok what haaa!
drop it like baby a sl~t (sl~t)
akaniambianga ni sawa (ni sawa)
nikamwambianga reverse (reverse, huh)
niko ithaa ayy
vile itakuja haina worse, ayy
ashaniambianga ni sawa (sawa)
nikamwambianga reverse (reverse, ayy)
ok what haaa!
drop it like baby a sl~t (sl~t)
akaniambianga ni sawa (ni sawa)
nikamwambianga reverse (reverse, huh)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...