lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu boutross - intro (freestyle)

Loading...

ilikuwa funny nilikuwa mtaani nikiwa ma nduku
ati trending kwa obare ,uko ndethe uko shughuli
hizi ni gani hizi no gani , hizi form hata hazinihusu
na me si upcoming so kibare kwa huyu kurutu
ganji me naitisha nasikia wanapea show crew
passport au visa hao mafala wana expect show ?
vile hard kunireach so kuna vile itabidi utumie zoom
me nadai kuenda ibiza na aziza apewe shroom
shout out eldoret vile nilicome ilikuwa sugu
show walikuja na mbogi but hiyo show niliwaosha nusu
vile huyu boy mskinny lakini huyo ngeos alipiga nduru
walikuja na ma kuku but hizo kuku niligeuza thufu
hands down nionyeshe nani ananishinda kwa luku?
buda najua uliomoka bado tunadeal na hizo story za ugumu?
one thing naujua , hardwork ndio hu dumu, one thing for sure , uzembe ndio sumu
f~~k around ujipate uko majuu , f~~k around ujipate uko ethiopia mwaka prrr
ka ni kuwa sober its nothing i can’t do, wananiita rocky so rocky what it do
ukisikia kawasaki inacreep inamove, ukisikia ni watatu then itabidi utoke mbuga
something always happening , yea somеthing boutta move
jua wewe ndio targеt and there’s nothing you can do
ukisikia kawasaki inacreep inamove, ukisikia ni watatu then itabidi utoke mbuga
something always happening , yea something boutta move
jua wewe ndio target and there is nothing you can do
piga hiyo bean , ride ikuwe smooth
blow off some steam , n~gga dont f~~k up my moods
big flex my team , n~gga always something new
100k for the weekend , 100k for the shoes
shrapgod shraplife shout out the 254


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...