lirik lagu boutross munene - safi
yeah
asum nipige hiyo moto kwanza niwashe hiyo tiri
then niletee hawa watoto ndio niwape hiyo hadithi
nilidhani tuko straight k~mbe nyi bado mnakula hiyo miti
usijali ata samson alipoteza nywele akipeana hiyo miti
then niliendaga missing ndio nikapate mateachings
then nikaskianga fununu maze nilidhani bouti nimechizi
ati bouti hakuanzisha injili ati bouti hafanyagi injili
buda bouti ndio alikuaga mpishi we ulikuwa msee nilituma iliki
buda pandisha hiyo toja ndani najua umevaa kamisi
unajifanya mzee wa keja na ndani umekaliwa na khalisi
buda kabonge na kobi kihara mwendelee kuchochana stori za para
na maplug wanamwadhara kazi ni kupeana tu kwa mambang’a aah
pitisha hiyo moto sasa aaaiii alafu uongeze maji hapa
( verse 2 )
yoh eeh
asum nipige hiyo maji na better make sure ni makali
buda tulivuka border ndio tukapige waragi
sai nafikiria bongo buda nasibongi stori ya nyasi
nabonga kupanda basi ndio tukapige konyagi
ju geri ni safi buda ni choice kuwa ngati
mistari ni safi buda nilipewa kipaji
nusu mita fika hapo ndio tufikishane kipaji
basi sijafika itabidi umechill mtaani
ju game naitinga ka ni s~x napenda wenye wanaringa
vile niliipiga alijua mbona nakuaga na sifa
shawty attached she just might go out and buy me a benz
just wanna smash shawty acting like she vera sidika eey
squuuad
( asum garvey ) ( verse 1 )
roach leta hiyo maji itabidi wakubali
si ni watu wa matangi watu hawalali kwa kazi
biz nachapa kambi gang yangu ni wasafi
…. najaza za kazi tunageuza hii kambi
tumelink magizani roach rada ni gani
tuko shrap kariobangi tune imecarry ma highs walai
sai tu sai nachapa makali sivuti mangwai
naroga na psyche naleta mavibes za might
you moving in different lanes with i
anadai me ni vibe lakini sidai mavako za guys
siku izi ni kubite, ka vile me nado sai
ndio kupata tu kahype wasee w~n~loose their minds
ndio maana mi nagrind nipate the bandz niflex kwa ndai yah
(ayee hiyo maji sasa tuongeze hiyo maji squuuaad )
( verse 2 )
roach leta hiyo moto itabidi wamesoro
hakuna cha let’s be friends you come with the money or we don’t pretend ( cash )
hakuna kuflex my net if you in a net weh fish kwa set
huwezi switch na the rest unless ukae na vest ni aim
im out in vegas , nax vegas aint i asum, hii ni a sum of all the outcomes ya the legends im on
come on, unadai tu kuride on ama tu kuhang on wakupull to babylon
songa songa me na swerve na curve cheki damage large, bonga bonga me nacome the boogeyman im the jason
gone with the winds flow za wengine siwezi k~mention , attention i am garvey cheki the game i own
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu elvis presley - how great thou art [elvis recorded live on stage in memphis]
- lirik lagu kid fe4r - why
- lirik lagu burning image - the sacred souls
- lirik lagu hi i'm chris - the disappointing ending
- lirik lagu gusi & beto - como yo
- lirik lagu ryan keen - never let you down
- lirik lagu solitario - por mis muertos
- lirik lagu the artypes - eclipse (feat. rhian souza)
- lirik lagu pure flow - k's
- lirik lagu juanfran - nunca te cambié