lirik lagu bosco nshuti - amenipitia
Loading...
lyrics
chorus/
na mimi niko katika wale ambao amewapitia nikiwa na huzuni akanirehemu kwa upendo akaniokoa nakuniponya amelipa deni zangu zote
verse1/
upendo usiyo fananishwa rehema ambazo haziishi hayo ndiyo mfalme w~ngu alinionyesha pale nilikuwa sina wakunijali waaandishi na makuhani wote wamenipitia wakaondoka yeye alipo nipitiya na upendo mwingi akanirehemu kwa fadhili
verse/2
aliniponya kwa mafuta ya gharama kubwa akafunika jeraha zote nilikuwanazo
bridge/
nitaimba upendo wa mwokozi ulionitowa
gizani nitajivuniya msalaba wa yesu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu ma$e - sorry pop off
- lirik lagu terez - luv2h8 - but chaotic
- lirik lagu fade031 - наступит ночь
- lirik lagu амплфорт (ampleforth) - плохой вкус (bad taste)
- lirik lagu emil bureau - elegant spring
- lirik lagu kunto aji - hiduplah sebelum mati
- lirik lagu ежемесячные (ezhemesyachnye) - ел раков (ate crayfish)
- lirik lagu tori - esquecer
- lirik lagu datblygu - os
- lirik lagu шток (shtok) - подлая (sneaky)