lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu boogie.ty - what the business

Loading...

‎verse 1

‎manze ni magwiji, akili ni kali
‎bro ako road, anapiga safari
‎drip ni legit, naflex kwa ferrari
‎hatucheki na ops, no tunda, no dhambi
‎wale ma~drillers wakicheki ni rally
‎shawty anasema mi ndo kachumbari
‎ukicheza na mrasta, utakula makali
‎vibe ni lit, bila chocha, no bali

‎chorus

‎what the business?
‎we don’t talk, just flip it
‎two bad tings in the ride, no witness
‎steppa, i’m known for the fitness
‎what the business?
‎too much sauce, i drip it
‎too much talk, just spin it
‎mwaga hiyo mix, let’s sip it!

‎verse 2

‎game imechange, lakini na~roll
‎kijana wa mtaa, bado na~grow
‎beef si ya wote, tunachagua foe
‎rizz on 10, baby anadai mo’
‎juu ya mboka, nakata ka pro
‎pesa kwa meza, no story ya bro
‎hali ni noma, lakini tunaglow
‎what the business? usituulize so!


‎verse 3

‎mbogi na bang, energy high
‎ukichеza na team, utawekwa kwa chai
‎tukiingia kwa club, kila mtu anadai
‎manadriller na rucio, tunakam na supply
‎kama ni beef, tunapiga na fry
‎huku ni city, tunachеza na sky
‎zile ma~rhymes, ukizisikia ni die
‎mi ni skepta wa ghetto, sina haja ya try

‎chorus

‎what the business?
‎we don’t talk, just flip it
‎two bad tings in the ride, no witness
‎steppa, i’m known for the fitness
‎what the business?
‎too much sauce, i drip it
‎too much talk, just spin it
‎mwaga hiyo mix, let’s sip it!

‎verse 4

‎pesa ni clean, lakini naflip
‎shawty anashake, anataka ma~drip
‎hapa ni business, hakuna ma~slip
‎tunacheza na notes, siwezi ma~skip
‎mbogi na gang, tunaride na ship
‎siwezi ni~dip, bado na~keep
‎flex kwa block, tunashoot kama clip
‎what the business? wacha ni~trip!
‎verse 5

‎nakuja na fire, moto ni lethal (grrr!)
‎flow imepanda, levels ni evil (woo!)
‎ops wanajaribu, lakini si equal (nah!)
‎tunakam na st~~ze, hatuna rival (bow!)
‎magwiji kwa scene, big up kwa sequel (yeah!)
‎bara hadi coast, wanasema ni regal (woo!)
‎what the business? tunaweka kwa needle (grrr!)
‎game ni ya ghetto, si ya cathedral! (bow!)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...