lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu bony mwaitege - tumekombolewa

Loading...

tumekombolewa
tumekombolewa
tumekombolewa kwa damu ya yesu
tumekombolewa
tumekombolewa
tumekombolewa kwa damu ya yesu
tulikuwa tumefungwa minyororo na shetani
mungu mwingi wa huruma alimtuma yesu
msalaba uligeuka uwanja wa vita
yesu alimwaga damu tukombolewe
tumekombolewa
tumekombolewa
tumekombolewa kwa damu ya yesu
tumekombolewa
tumekombolewa
tumekombolewa kwa damu ya yesu

imba nawe
tumekombolewa
imba
tumekombolewa
imba nao
tumekombolewa kwa damu ya yesu
imba tena eeh!
tumekombolewa
hallelujah
tumekombolewa aah! hallelujah
tumekombolewa
eeh! eeh!
kwa damu ya yesu
wooh!

ahadi ya mashtaka bwana yesu alifuta
sio watumwa tena
tumewekwa uhuru
vifungo vya magonjwa bwana yesu amevishinda
tumekombolewa kwa damu ya yesu
hatukadamizwi tena
na mizimu
tumewekwa huru
kwa damu ya yesu
tumekombolewa
tumekombolewa
tumekombolewa
tunaimba na kucheza
imba
tumekombolewa
eeeh!
tumekombolewa
hallelujah
tumekombolewa kwa damu ya yesu
cheza uko huru
tumekombolewa
tumekombolewa
sifu bwana
tumekombolewa (sifu bwana)
kwa damu ya yesu

the blood of jesus cleanses us from sin
we have been saved by blood of jesus
you are free
i am free
we are free
by the blood of jesus
we have been saved
hallelujah
we have been saved
(hallelujah) we have been saved
by the blood of jesus
wooh!
we have been saved
(hallelujah) we have been saved
we have been saved
we have been saved
(we have been saved) by the blood of jesus
thank you jesus

we have been saved
we have
we have been saved
by the blood of jesus
we have been saved
by the blood of jesus
(hallelujah)
we have been saved
(hallelujah)
we have been saved
(hallelujah)
we have been saved
(hallelujah)
by the blood of jesus
tumekombolewa
tumekombolewa
tumekombolewa kwa damu ya yesu
tumekombolewa ndio maana unaona tuna furaha
tumekombolewa
kwa damu ya yesu

tumekombolewa
tume tume
tumekombolewa
tume tumekombolewa
tumekombolewa kwa damu ya yesu
ooh! tumekombolewa
tumekombolewa
hallelujah
tumekombolewa
hallelujah
tumekombolewa
eeh! eeh!
kwa damu ya yesu
bwana katuweka huru

tumekombolewa
kwa damu ya msalaba
tumekombolewa
tumekombolewa kwa damu ya yesu (aah aah eeh!)
wooh!
tumekombolewa
kombolewa
tumekombolewa
tumekombolewa
tumekombolewa
tumekombolewa
kwa damu ya yesu
tumekombolewa aah!
asante yesu


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...