lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu bony mwaitege - safari bado

Loading...

mfalme belshazzar maandiko yanamsimulia
alilewa madaraka akamkosea mungu
alipopata ufalme alichanganyikiwa

mpaka akathubutu kutumia vikombe vya hekalu.
mfalme belshazzar
alishangaa kuona mkono unaandika ukutani
na anayeandika alikuwa haonekani
maneno yaliyo jitokeza ukutani yalikuwa haya
mene mene tekeli na peresin
maana yake ufalme wako umepimwa kwa mizani
nao umeonekana umepungua
ufalme wako wamegawanywa wabedi na wajemi
belshazzar belshazzar
belshazzar alidhani amefika akaanza kudharau watu k-mbe safari bado
mfalme belshazzar alidhani amefika akaanza k-mdharau mungu k-mbe safari bado… inaendelea
safari bado… safari baaado.safari bado… inaendelea
woho baaa
baaadoo safaaari bado (baadoo)
maisha ni safari ndefu ndungu safari bado (hei baaadoo)
baaadoo safari bado (ndugu yangu)
usianze kudharau watu ndugu safari bado
baaadoo safari bado
endelea k-mheshimu mungu ndungu safari bado …inaeendelea
safari bado
ukipigiwa simu haupokei unaiangalia tu
unadhani umefika k-mbe safari bado
ukipita na gari yako matope unaturushia
unadhani umefika k-mbe safari bado
umejifungua salama usifute namba za wakunga
ndugu yangu nakuk-mbusha kwamba safari bado
bado safari baaado
endelea kuheshimu watu ndungu safari bado
baadoo safari baaado
usiache k-mwabudu mungu ndugu safari bado. inaeendelea
bado heiye
baaadoo safari bado
maisha ni safari ndefu ndungu safari bado
baadoo safari bado
usianze kudharau watu ndugu safari bado
baaadoo safari
endelea k-mheshimu mungu ndugu safari bado …inaendelea
safari baaadoo
umesoma sawa lakini k-mbuka walio kusomesha
usiwasahau maana safari bado
unapesa nyingi sawa lakini k-mbuka ulikotoka
usidharau watu ndungu safari bado
baadoo safari bado
endelea kuheshimu watu ndungu safari bado
baaadoo safari baadoo
maisha ni safari ndefu ndungu safari bado… inaendelea
safari bado …heiyei
baadoo safari bado
maisha ni safari ndefu ndungu safari bado
baadoo safari bado
usianze kudharau watu ndugu safari bado
bado safari bado
endelea k-mheshimu mungu ndugu safari bado …inaeendelea
safari bado
end


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...