lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu bonihasto boni p - mafua

Loading...

[intro]
ehhhh naje naje chaliii (tsup)
mafua .. swagga babu

[chorus]
sibani pua, nina mafua
sibani pua, nina mafua
kwenu kuna kuja, kwetu ni mvua
time unachukia, me natusua
sibani pua, na mafua
sibani pua, nna mafua
sibani pua, nina mafua
sibani pua, nina mafua

[verse 01]
yeah yeah yea yeah, shangwe everywhere
hukupenda kuniona, now i’m on air
rap yangu gaucho, wale wanabutua
sipishani na pesa, sibishani na hater
piga maji chezea maji batabata (ahh)
i got so much style, swagga master (ahh)
full bando yeah, sipotei online
hutumii liquor, chukua hata wine
tunachoma msitu msitu msitu msitu
she like my pipe pipe pipe pipe
moyo barafu, babe no love
bish i’m the dog (woof woof)
[chorus]
sibani pua, nina mafua
sibani pua, nina mafua
kwenu kuna kuja, kwetu ni mvua
time unachukia, me natusua
sibani pua, na mafua
sibani pua, nna mafua
sibani pua, nina mafua
sibani pua, nina mafua

[verse 02]
chafya njoo, chafya usi goo (achaa)
hizo story za kikuda, joh acha
bongo jua kali, bado unajichubua
kaa nasi mbali, we snitch tunajua
sibani pua, na mafua
mtoto wa kishua, chu namvua
wale wamefua, mi nachafua
bado hujakua, immature
tumbo linawauma, wape fragyl
boss wa hii flow, rapper wako na mwajiri
demu ananitaka, big wowowo
babe tingisha, hilo wowowo

[chorus]
sibani pua, nina mafua
sibani pua, nina mafua
kwenu kuna kuja, kwetu ni mvua
time unachukia, me natusua
sibani pua, na mafua
sibani pua, nna mafua
sibani pua, nina mafua
sibani pua, nina mafua


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...