lirik lagu bonihasto boni p - game over
[intro]
naspit lugha chafu habari mbaya kwa wasafi
wat it do dirty dirty
bonihasto
yeahhhhh
[verse 1]
naspit lugha chafu,habari mbaya kwa wasafi
flow inapigwa rafu , bado mchizi nipo high
nimecome bila ishara,no salamu n0 trela
nipo hot ile imara ,natake over kisela
barz zinamake rain,nareign kila channel
mitaa inafeel again,nagain extra sell
nafanya ngumu maumivu, nani humu atasavivu
tabasamu nusu uvivu ,ninarun 255
sio pekee unayenigwaya,hata ticha wako ananihofia
nameteka kila himaya,muulize rapa unayemsifia
tattoos fake kujiita gangster,hizo ni drama mzazi
haushine bila feature,flow nzima unacopy
nasikiaga wanaandika,mi nachora mpaka sifa
navunja kila record,brain imeshiba maarifa
%%%%%$$$$$$$??????,colm bongo rap saviour
ni ile flow yenye swagga,fleva adimu kwa kitaa
o yeah hapatoshi
mashairi yanaf-ka moshi
ukishtuka nishatisha,na mchezo ushakwisha
matokeo yanakupagawisha, namba moja nawakilisha
[hook]
chalii naharibu kila show
mzuka high , ni ushindi hakuna droo
chalii naharibu kila show
mzuka high , ni ushindi hakuna droo
nakimbiza hii mitaa, game over
nakimbiza hii mitaa game over
nakimbiza hii mitaa ,game over
ni ushindi hakuna droo,naharibu kila show
[verse 2]
weka battle kisha bet,na my brain ipo bright
niwashike kile ubeti,niwamalize na show tight
sura kavu sina hofu,habari iliyokuja na dosari
nimemasta hii gemu,moyo jasiri hodari
fake n-ggaz wanahate,kwa hizi metaphor wanasweat
wanaspit bila fakt,style zao outta date
wanafananisha kama sana,kila line wanajikana
waliposimama haijajulikana,ile ya jana haina maana
18 knockout round hii sikuachi
3d,on stage,ni ushindi kila touch
mi alone sihitaji team,uwezo makini hawach0m-ki
naogopesha kwa dream,wanascream gmme the break
usikosee raha n-gga ,kama kidole cha kati
huwezi simama mmoja wenzako wote wakiketi
rewind zile line hazijakukaa kwenye mind
go blind kila sehemu nawaachia vumbi
o yeah ,me siye yule unayemtaka
me ni yule anayewashata,new chapta soma chapa
haaaa yule chalii aiseee
nafanya mbio watimue,yo lazima unichukie bro
[hook ]
chalii naharibu kila show
mzuka high , ni ushindi hakuna droo
chalii naharibu kila show
mzuka high , ni ushindi hakuna droo
nakimbiza hii mitaa, game over
nakimbiza hii mitaa game over
nakimbiza hii mitaa ,game over
ni ushindi hakuna droo,naharibu kila show
[verse 3]
duke moja chali,hii place haustahili
mi noumer chalii,na hii swahili
mcz wameshika tama,hali duni
nasound kinyamwezi wanasema nasahau tamaduni
ni dakika za majeruhi,namaanisha hitimisho
usinipe hata hi ,tabasamu mara ya mwisho
mzuka upo high ,nasimamia kila show
nishajikaki kifasihi,ni ushindi hakuna droo
ni ushindi hakuna droo
naharibu kila show
bonihasto boni p
best rapper in town
[hook]
chalii naharibu kila show
mzuka high , ni ushindi hakuna droo
chalii naharibu kila show
mzuka high , ni ushindi hakuna droo
nakimbiza hii mitaa, game over
nakimbiza hii mitaa game over
nakimbiza hii mitaa ,game over
ni ushindi hakuna droo,naharibu kila show
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu amir farjam - khoshhalam
- lirik lagu davey asaph - til it's over (take off)
- lirik lagu thézée astérion - francfort
- lirik lagu little simz - lane switch
- lirik lagu dårlig vane, angelo reira - si ingenting vestkyst (remix)
- lirik lagu bino - bagunça
- lirik lagu #ggstm - bitches aint shit
- lirik lagu dave connis - drowned in eden
- lirik lagu p money - guest list (part 1)
- lirik lagu beauty pill - dog with rabbit in mouth, unharmed