lirik lagu bonge la nyau - dam dam
[intro]
[drop]
meck
[verse 1: bonge la nyau]
hatuishi kuwa na mission
ku~push range rover
hatuishi kuwa na vision
penzi ‘ku~take over
ukitucheki pamoja
wawili kama soldier
tushavuka ma border
sumu kwetu uoga
kama romeo na julieth
beki hazikabi
nimetaradadi ‘mahabuba
umenifanya nitulie
umenivika taji
full charge ‘mavumba
uh
kwanza uko simple
ninakukamatia
kitandani diko ‘ninajisevia (woo!)
parapirito ‘weka mara mia
mwaga ma piko, ‘ukilia, lia
utamu wa penzi, ‘sukari, asali, hatari
[chorus: dayoo]
mm
mmm
(?)
niko hapa moyo nimetulia, ah
sio sarafu ‘ila ni upendo umenikimbiza, ah, ah
mbio, aah
mbio, my baby
mbio
(mm, mmm)
mbio, baby
[hook: dayoo & bonge la nyau]
ah, ah, aah
ah, ah, aah
ah, ah, aah
ah, ah, aah
yeah, uh
[verse 2: bonge la nyau]
tulipotoka local
maisha ya kuigiza
ubishi, changamoto
tuna dunduliza
tumepitia msoto, now tunakimbiza
to~to~ri~toto
bata twende ibiza
uh, nuru yako iangazapo kw~ngu ishara ya uzima
watafute dunia nzima wa kukuzidi hakuna
toa past weka present
we ndio vice ‘mi ndio president
uko good kwenye industry
uko good kwenye price, uh
una shеpu matata ka linna
we ndio w~ngu kinasha, carolina
ukiniacha nitadata ‘sarafina
njoo tucheze chakacha na~na~ni~na
utamu wa pеnzi, ‘sukari, asali, hatari
[chorus: dayoo]
mm
mmm
(?)
niko hapa moyo nimetulia, ah
sio sarafu ‘ila ni upendo umenikimbiza, ah, ah
mbio, aah
mbio, my baby
mbio
(mm, mmm)
mbio, baby
[hook: dayoo]
ah, ah, aah
ah, ah, aah
ah, ah, aah
ah, ah, aah
ah, ah, aah
(instrumentals)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu x0o0x_ - ****** (asterisk)
- lirik lagu lil x21 - 21youmygirl
- lirik lagu howell dawdy - man of the future
- lirik lagu sanxtity offline - vazio no peito
- lirik lagu bulk requiem - tv gangster
- lirik lagu pansol choir - isang bansa
- lirik lagu sybyr - don't matter
- lirik lagu zoraxie - бессилен (powerless)
- lirik lagu the used - pain is my therapy
- lirik lagu kendrick lamar, summer walker & ghostface killah - purple hearts (mixed)