lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu bonge la nyau - blessing

Loading...

[intro: bonge la nyau & dayoo]
all the time
meck (meck)
all the time
seh, naitwa mangi
all the time
mm
(all the time))
oh, yeah, oh yeah
(?)

[chorus: dayoo]
ana bless jah jah
jah jah jah
ana bless jah, uh
jah jah jah jah
ana bless jah jah
jah jah jah
ana bless jah, uh
jah jah jah jah

[verse 1: dayoo]
kutoka ukonga mpaka town now
(?) mitandao ‘hadi nilipo now
bado nina hustle ila kidogo angalau
(kidogo angalau)
kutoka shabiki mpaka naimba now
fitina, chuki zao ‘nikakomaa nao
so, hao wakishua, ‘msinishindanishe nao
mm, oh yeah, yeah
mashabiki hawataki kiki
wanataka muziki (yeah)
now
wanao feki
ndio wabana riziki
tunaishi nao, tunakula nao
na tunacheka na~na~na~,nao, ‘hao
na sishindani (?) uchwara
silogi ‘mi wa sala
kikubwa dua nala
muziki biashara
haunitii hasara
na kila siku…
[chorus: dayoo & bonge la nyau]
ana bless jah jah
jah jah jah
ana bless jah, uh
jah jah jah jah
ana bless jah jah
jah jah jah
ana bless jah, uh
jah jah jah jah
yes

[verse 2: bonge la nyau & dayoo]
uh
wakatufichia sabuni tusiogee mabafu
walituona wa uswahilini ‘hatukupata tuff
tulizini ‘ndani ya mashuka machafu
tulianzia chini kabla ya kuijua sarafu
(yeah)
uh, pale tulipo kanyaga walifuta nyayo
k~mbuk~mbu tuliyo iachaga ‘wamepita nayo
na kibaba nitakacho jaza ‘ni mimi na dayoo
habari zetu ndio watazijaza ‘millard ayo
sasa masaki ‘nawaka lotion
nimewaka versace ‘ndani ya motion (tion)
maisha safi pembeni ya ocean
chakula busati ‘na focus mission
pale walipo nipo
nipo simple
wameshindwa kulala, ‘w~n~leta malalamiko
champagne, kiko
usikonde hizi zipo
cha msingi mapambano
pochi (?) mafuriko
[chorus: dayoo]
ana bless jah jah
jah jah jah
ana bless jah, uh
jah jah jah jah
ana bless jah jah
jah jah jah
ana bless jah, uh
jah jah jah jah

[outro]
all the time
ha~ha
all the time
brina beauty [‘mombasani]
all the time
all the time, (yeah)
more green international
jacky umeme
(ma feeling make it)
(the african vibes)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...