lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu blue stars modern taarab uganda - sogeya

Loading...

chorus
usiku kucha silali nakuwaza mahashumu
na mchana kutwa sili mpenzi kwa yako hamu
sogeya mpenzi sogeya sogeya ni kushike
sogeya mpenzi sogeya sogeya ni kubusu
verse 1
niwe ulo niasiri - mpenzi ulo umbika
kila napo kuf-kiri – machozi yanimwaika
nimeshindwa kusubiri – mwenzio nina teseka
chorus
verse 2
sikutuliya kwa jana – kuiona sura yako
mimi nakupenda sana – nahamu ya huba zako
na furaha mimi sina – nihurumiye mwenzako
chorus
verse 3
moyo w-ngu waniaka – kwa hamu yako mapenzi
kila nikikuk-mbuka – sijimudu sijiwezi
moyo w-ngu hugutuka – nikakosa na pumzi
chorus
verse 4
fanya hima tuonane – ewe w-ngu maridhawa
sijamuona mwengine – wewe ndie yangu dawa
sogeya mwana nivune – waumwe wanao umwa
chorus
end


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...