lirik lagu blaq wayne - buda ni me
intro:
(this the best, buda ni me)
(noxious beats)
(me is popping..,)
verse 1:
cheki
the way am spitting, hakuna ninja anaeza fanya
keep on hating, juu daily n~z~di kusonga
jua ni kubaya, morio napiga zoezi
wenye na~murder, ni hawa marapper wame fake it
gang ni mbaya, crew imebeba mabandit
vile nadunga, siezi choka kuwateka
huku mapunchline, ndio zinafanya natesa
ngumi za tyson, hapa lazima unasepa
chorus 1:
me, me ndo nimebeba umati
buda ni me, me is popping
huku ni me, me ndo nafanya rahisi
buda ni me, huku ni me
verse 2:
ain’t competing
wengi wenu nyi ma android, huku bana me ni type c (cheki)
none of you n~ggas can troll me
hizi streets am popping
hapa unabaki umеng’ethia
soon nabeba magoro
juu sai nimebеba umati
identity ni kiongozi
ex sai anataka retake
am sorry niliacha vitibi
sikuizi nafanya mabanger
kwanza rahisi tena visimple buda utadhani ni magic
who said you chasing what you can’t be? (f~ck them)
flow ni gwan hope you say, (yes bana)
am rolling with the g’s
vile nafeel am juicy
lazima ni trend by default
cnn saii am trending
nina tabia za mastepper
me nawatoka ki messi
b~tch, i like you, noo am dating
you sure anakupenda na soul
mbona nafeel you kidding?
mresh, cheza, cheza na me..,
chorus 2:
me, me is popping
huku ni me, me ndo nimebeba umati
buda ni me, me ndo nafanya rahisi
buda ni me, huku ni me
me is popping, buda ni me
me is the best, buda ni me
me ndio nmebeba umati, buda ni me
huku ni me….,gang sh~t
outro:
(icious beats.)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu killkxrma - komi
- lirik lagu magnilda - she's the queen
- lirik lagu rocco - better
- lirik lagu luhle - make it out.
- lirik lagu red line savage - bankai
- lirik lagu crystal gayle - you belong to me
- lirik lagu omoinotake - bitter sweet
- lirik lagu spinn - daydreaming
- lirik lagu gustavo cerati - tráeme la noche (bring on the night) (feat. andy summers)
- lirik lagu paul baloche - a greater song (live)