lirik lagu bismark musiq - sare sare
intro
whoop!
yayaya….
eeeyah..
chorus
[zile dhambi za zamani bado zinaniandama
zataka nirudisha nyuma ila kwako nimekwama
tuko sare sare
tuko sare sare oyeeah
tuko sare sare
zibaki palepale] x2
verse 1
zile tabia za zamani zajaribu kujidhihirisha
na yule mtu wa zamani anataka kusababisha
ila nimeshamcheki, mi naye sio rafiki, no more
aliniletea dhiki, ndani akaweka chuki oyeyeyeah
nishaliona lake lengo
anashinda akinipima ubongo ye
kurudi kwake tena ajue ng’o
sitafungua huo mlango
(nishathathmini kwa nini nikuwe makini utanibeba hadi lini)x2
chorus
[zile dhambi za zamani bado zinaniandama
zataka nirudisha nyuma ila kwako nimekwama
tuko sare sare
tuko sare sare oyeeah
tuko sare sare
zibaki palepale] x2
verse 2
ukiwaona uwaambie nishahama pale, nishahama
niko kwa yesu niko salama naye, niko salama
oooh nimezama (zama uuuuh), hadi siwezi toka
hadi siwezi
oooh n~z~toka (toka uuuuh) kila siku ya calendar
kila siku ya calendar
nimeokoka nafanya vitu vile ye hudo
niko kwenye list ya mbinguni
kwa shetani nilitoka sifanyi zile vitu ye hudo
niko kwenye mbio na kungoja utangoja
endelea tu kukazana
na kungoja utakaa sana
ukicheza sina ungwana
ukicross line yangu tunamenyana
chorus
[zile dhambi za zamani bado zinaniandama
zataka nirudisha nyuma ila kwako nimekwama
tuko sare sare
tuko sare sare oyeeah
tuko sare sare
zibaki palepale] x2
outro
oooh nimezama (zama uuuuh) hadi siwezi toka hadi siwezi
oooh n~z~toka (toka uuuuh) kila siku ya calendar, kila siku ya calendar…. nanaaa
cheza mbali
cheza mbali
[end]
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu shawn colvin - this must be the place (naive melody) (live 2008)
- lirik lagu xela7th - i thought i knew
- lirik lagu 2012 - substanțe
- lirik lagu seksikäs suklaa - bandida
- lirik lagu down time [denver, co] - there it goes
- lirik lagu juventino - pal carajo
- lirik lagu booker - моя кровь на твоих вэнсах (my blood is on your vans)
- lirik lagu amnesia scanner - as labyrinth
- lirik lagu novelists fr - after the rain
- lirik lagu twinsanity - fears & demons