lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu bin wizzy dencalm - happy jamhuri

Loading...

happy jamhuri
bin wizzy dencalm
lyrics
hook:
ke_ fire burn fire
kenya light up like dec 12th
tarehe tarehe twastarehe
twelve-twelve happy jamhuri
ke happy jamhuri
kila day ni happy jamhuri
kenya twaenjoy freedom
254 is the place to be
verse 1:
daima mimi mkenya damu damu
i love kenya ni tamu tamu
najivunia kuwa mkenya
nafurahia kuwa mkenya
dear god bless kenya
dear god bless kenyans
tuzidi kuwa na upendo
tuzidi kuwa na amani
tuzidi kuwa na umoja
tuzidi kuwa na undugu
tusirudi nyuma tusonge mbele
tusikate tamaa tuone mbali
maendeleo tu mamboleo
tujitahidi na miradi
mission kenya maridadi
vision kenyan dream amen
hook:
ke fire burn fire
kenya light up like dec 12th
tarehe tarehe twastarehe
twelve-twelve happy jamhuri
ke happy jamhuri
kila day ni happy jamhuri
kenya twaenjoy freedom
254 is the place to be
verse 2:
wapi nduru za shangwe
wuuh wuuhh hoiyee hoiyee
hii nchi ya lulu taifa nuru
wuuh wuuh hoiyee hoiyee
bendera ya kenya ipepee
true colors of our nation
uhuru tunao twashukuru
mashujaa wapewe celebration
wanasporti wasanii
wasupportiwe 24/7
wanaofanya kenya ishine
tufeel proud ka tuko heaven
all is good made in kenya
tubuy kenyan tubuild kenya
east or west home is kenya
smile kenya home sweet kenya
hook:
ke fire burn fire
kenya light up like dec 12th
tarehe tarehe twastarehe
twelve-twelve happy jamhuri
ke happy jamhuri
kila day ni happy jamhuri
kenya twaenjoy freedom
254 is the place to be
verse 3 :
ooh karibu kenya tu sana
hakuna matata ni furaha
always welcome to kenya
feel at home when in kenya
issa beautiful country u’ll love
we wonderful people much love
we blessed with nature from above
we rich in culture show ur love
this is kenya we trust in god
all is well god is good
this is kenya we trust in god
all is well god is good
ooh karibu kenya tu sana
hakuna matata ni furaha
always welcome to kenya
feel at home when in kenya
hook:
ke fire burn fire
kenya light up like dec 12th
tarehe tarehe twastarehe
twelve-twelve happy jamhuri
ke happy jamhuri
kila day ni happy jamhuri
kenya twaenjoy freedom
254 is the place to be
hook rpt:
ke fire burn fire
kenya light up like dec 12th
tarehe tarehe twastarehe
twelve-twelve happy, jamhuri
ke happy jamhuri
kila day ni happy jamhuri
kenya twaenjoy freedom
254 is the place to be


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...