lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu billnass - maokoto

Loading...

we zombie sikutaji humu eeeh
alooooh

nimemuacha mama nyumbani
nimeaacha madogo
nimemuacha babe nyumbani
nimeacha uroda
nimemuacha baba nyumbani
nimeaacha wazee
kunanuka shida nyumbani oohhooo

kwahiyo boss
mmmmhhh
zingatia maokoto
aloooo
si ndio boss
zingatia maokoto

naenda kama kichwa ujue nikifelisha hakuendiki
maliwato
nisipofanikisha itaota majani ile njia ya
maliwato

tumetoka far away
tumekuja kutafuta hela
nishamwaga jasho
yote nataka hela
tumetoka far away
tumekuja kutafuta hela
usilete maneno maneno
naomba hela yangu
alooooo

nasema boss nataka changu
oyaaaahhh eeeehhhh
naomba ela yangu
nakuheshimu boss nataka changu

kichwa changu hakiko sawa
nilipe nisepe
baba mwenye nyumba ananidai
nilipe nisepe
oooohh
leo siko sawa
nilipe nisepe
usistakе tushikane matai
nilipe nisepе

boss boss hizo noti noti
kata pasu langu
zingatia maokoto
jua langu mvua yangu
aisee nipe changu
zingatia maokoto
boss boss hizo noti noti hilo jasho langu
zingatia maokoto
jua langu mvua yangu
aisee nipe changu
zingatia maokoto
tugiwana majengo mimi naenda jela
we mzee
nikiongea kwa vitendo utaniona mimi msela
we mzee

naenda kama kichwa ujue nikifelisha hakuendeki
maliwato
nanisipofanikisha itaota majani ile nija ya
maliwato

tumetoka far away tuimekuja kutafuta hela
nishamwaga jasho yote nataka hela
tumetoka far away tumekuja kutafuta hela
usilete maneno maneno
naomba hela yangu

alooooo

nasema boss nataka changu
eeeehhh
oyaaaah eeehhhh
naomba hela yangu
nakuheshimu boss nataka changu changu

kichwa changu hakiko sawa
nilipe nisepe
baba mwenye nyumba ananidai
nilipe nisepe
oooooh
leo siko sawa
nilipe nisepe
usitake tushikane matai
nilipe tusepe


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...