lirik lagu belle 9 - sumu ya penzi
(verse1)
penzi ni kitu ambacho kinaweza kukupa furaha maishani mwako
vilevile penzi linaweza kukupa huzuni milele moyoni mwako
ukashindwa kuelewena na ndugu rafiki hata wazazi na wako
utakosa raha ya maisha hata kama una pesa
utalala viungo vyako
kimawazo utakesha
utakosa raha ya maisha hata kama una pesa
utalala viungo vyako
kimawazo utakesha
(chorus)
sumu ya penzi ukishailamba
hata kwa maziwa huwezi kupona
sumu ya penzi ukishailamba
hata kwa maziwa huwezi kupona
sio kwamba me nakukataa ila moyo w~ngu unasita
wazazi w~ngu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka
sio kwamba me nakukataa ila moyo w~ngu unasita
wazazi w~ngu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka
(verse2)
ulinimwaga kama mchele kuku wanidonoe mimi
ukanifunga mpaka kitanzi nani aniokoe porini
ulinimwaga kama mchele kuku wanidonoe mimi
ukanifunga mpaka kitanzi nani aniokoe porini
right nngejua kuna dawa ya penzi
ningejifunga nisipende
maana mapenzi kw~ngu yamekuwa shubiri
kwa wеnzangu ni tende
right nngejua kuna dawa ya pеnzi
ningejifunga nisipende
maana mapenzi kw~ngu yamekuwa shubiri
kwa wenzangu ni tende
(chorus)
sumu ya penzi ukishailamba
hata kwa maziwa huwezi kupona
sumu ya penzi ukishailamba
hata kwa maziwa huwezi kupona
sio kwamba me nakukataa ila moyo w~ngu unasita
wazazi w~ngu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka
sio kwamba me nakukataa ila moyo w~ngu unasita
wazazi w~ngu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka
sihitaji mapenzi na we
me sitaki mapenzi na we
ooh baby naomba unielewe
sihitaji sitaki mapenzi nawe
nachoweza kusema sihitaji mapenzi na wewe
nachoweza kusema sihitaji mapenzi na wewe
nachoweza kusema sihitaji mapenzi na wewe
mapenzi na we weee hii ii
sio kwamba me nakukataa ila moyo w~ngu unasita
wazazi w~ngu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka
sio kwamba me nakukataa moyo w~ngu unasita
wazazi w~ngu watanishangaa nyumbani we ulishatoroka
sio kwamba me nakukataa mimi
wazazi w~ngu watanishangaa mimi
sio kwamba me nakukataa mimi
wazazi w~ngu watanishangaa mimi
belle9 rocka tz record
niko na twiss ooh
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu jiǎng xiǎo ne (蔣小呢) - 航行(hang xing) pinyin
- lirik lagu dueto moreno - ¿porque los matan?
- lirik lagu mozzy - role model
- lirik lagu erixen - рассвет (dawn)
- lirik lagu summer davis - sick of being tired
- lirik lagu millyz, jadakiss & dj drama - by my lonely
- lirik lagu kalam ink - kya tum / kya me
- lirik lagu ash tuesday - felt cool might delete - on the bed
- lirik lagu armando chávez "el consentido" - yo no me quiero ir (en vivo)
- lirik lagu pinkpantheress & ice spice - boy's a liar, pt. 2 (hasan insane remix) [mixed]