lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu belle 9 - maria

Loading...

(verse: 1)
ndoto tunazo wote sio za kushare
w~ngapi wana mbawa na hawaj~pepea
umemute kwa style haya mapito
na hizi kiki za town dunia si nzito
haya machozi ya furaha kusizi nalio
kufuta macho haimaniishi nimechoka maria

(pre~chorus)
wengi huvuta kwa macho
si rahisi kufanania na ndani
uzuri haupimwi kwa macho
ila we mzuri wa nnje na ndani

(chorus)
chuoni miangu maria
nanena nawe maria
chuoni miangu maria
nanena nawe maria
ah ~ ah ~ ah, heiyee maria
ah ~ ah ~ ah, heiyee maria
heiyee maria
kwanichoni maria
chuoni miangu maria
nanena nawe maria
chuoni miangu maria
nanena nawe maria
ah ~ ah ~ ah, heiyee maria
heiyee maria
heiyee maria
kwanichoni maria
(verse: 2)
kinondoni hata masika wananoga
wanamix mapicha picha wanangoja
salmacone mpaka mafisa wananoga
wanamix mapicha picha wanangoja
jamaa anahisi kukuacha kakosea
na kweli karibu hii njia hauj~potea
msamaha rahisi my beiby take care
j~po vita ni ndogo ndogo we have to pray

(pre~chorus)
wengi huvuta kwa macho
si rahisi kufanania na ndani
uzuri haupimwi kwa macho
ila we mzuri wa nnje na ndani

(chorus)
heiyee maria, heiye heiye
heiyee maria
wanichoni, kwanichoni
wanichoni maria
wanichoni, kwanichoni
wanichoni maria
maria, maria, maria
chuoni miangu maria
nanena nawe maria
chuoni miangu maria
nanena nawe maria
ah ~ ah ~ ah, heiyee maria
ah ~ ah ~ ah, heiyee maria
heiyee maria
wanichora maria


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...