lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu barakah the prince - tokota

Loading...

[intro]
i’m on my way (baby, oh)
[?] again
? music
na abidaddy (aya)
ooh, yeah, yeah, yeah
yeah
oh, my love

[verse 1]
baby today i’m gonna show you how much i love you, mama
i’m on my way, narudi nyumbani kw~ngu, leo mapema
ila’, kinacho niumiza, nikupe siri yangu
kinacho ni [?] muda, wa majuk~mu yangu
kinacho niumiza, akili yangu
kutwa nafikiria, nifanye nini kwako nikuridhishe, hey

[pre~chorus]
nimekolea mimi kwako, nimekolea (we mtoto)
nimekolea mimi kwako (kama boya)
nimekolea mimi kwako, nimekolea (we mtoto)
nimenogewa mimi kwako kama boya

[chorus]
ka penzi letu limetokota
(toh, tokota)
oh, limepikwa, limetokota
(toh, tokota)
tumeiviana, tumetokota
(toh, tokota, ah)
twapendana, si kitoto, eh
(toh, tokota)
umekwiva wewe
[hook]
again, again, again
umenikamata (ah, ah, ah), baby oh
again, again, nimekamatika

[verse 2]
kabila singasinga mixer muhaya, wa kijaluo, ni ka korea
mtu mzima bila haya, roho yangu nikajitolea
hapo, msishangae, msishangae
mie kuwa nae
amekwiva, yeah
so, msishangae, msishangae
ai, kuwa nae
mtoto ka kwiva, hey

[pre~chorus]
nimekolea mimi kwako, nimekolea (we mtoto)
nimekolea mimi kwako (kama boya)
nimekolea mimi kwako, nimekolea (we mtoto)
nimenogewa mimi kwako kama boya

[post~chorus]
ka penzi letu limetokota
(toh, tokota)
oh, limepikwa, limetokota
(toh, tokota)
tumeiviana, tumetokota
(toh, tokota, oh wewe)
twapendana, si kitoto, eh
(toh, tokota)
tumekwiva we, hey
[drop]
oh baby girl
[drop]
mwenzio
i’m on my way, i’m on my way, i’m on my way, i’m on my
[outro]
abidaddy


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...