lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu barakah the prince - permanent love

Loading...

[intro: barakah the prince]
oh, yeah, yeah
mmm
mmmm
perma~
permanent love
perma~
permanent love
yeah, aye

[verse 1: baraka the prince]
zipu yangu tangu ilipoharibika
hata walio mahiri wa mitindo kwani
walishindwa irekebisha
oh, yeah
neno “nakupenda” kw~ngu, kwa yeyote linanitoka
macho yangu tu yakisha tu kutamani
siogopi kulitamka
oh, yeah
ningetamani kuwa nawe ‘kwa usiku mmoja tu
na ukirushusu kuwa nawe, itakuumiza boo
ukiweza ku~share mapenzi
nipo tayari mi kuwa nawe
because, no money no love
when i’m get money, i’m gonna buy love
[pre~chorus: baraka the prince]
mwenzio mimi siwezi, mmoja mpenzi yaani permanent love
oh, yeah
mwenzio mimi siwezi, mmoja mpenzi yaani permanent love
oh, yeah

[chorus: baraka the prince & joh makini]
perma~
permanent love (no,no)
permanent love,aye
i don’t wanna let~, yeah
perma~
permanent love, no, no, no
perma~
permanent love
sihiitaji

[verse 2: joh makini]
aye
mahusiano ya ki mapenzi unaambiwa
kwanza kabisa inaanza kutamaniwa
na siku hizi kupendwa, si majaliwa
wakimwaga pesa unaliwa
nikikosa pesa utaliwa
nikitia mzigo utanipenda ntapaliwa
sipendi kutaitiwa, kuhisi naibiwa
mtoto kusingiziwa, ndoto zinakaliwa
career zinaharibiwa
vaa kiatu changu utaelewa
uhuru ni kama kilevi juu nishalewa
elewa, siwezi kwenda beach na mchanga
nikute ma beach boys na my b~tch juu ya mchanga
[hook: baraka the prince]
ukiweza ku~share mapenzi
nipo tayari mi kuwa nawe
because, no money no love
when i’m get money, i’m gonna buy love

[pre~chorus]
mwenzio mimi siwezi, mmoja mpenzi yaani permanent love
oh, yeah
mwenzio mimi siwezi, mmoja mpenzi yaani permanent love
oh, yeah

[chorus]
perma~
permanent love (no,no)
permanent love
perma~
permanent love
i don’t wanna let~, yeah
perma~
permanent love
permanent love
perma~
permanent love
sihiitaji
[outro]
i don’t want
i don’t wanna, i don’t wanna, i don’t wanna
i don’t wanna, wanna, i don’t want love
permanent love
yeah
me, i don’t want
i don’t want, i don’t want, i don’t wanna
i don’t wanna, wanna, i don’t want love
permanent love
yeah


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...