lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu barakah the prince - nisamehe

Loading...

[intro]
baby turuuh
uhm~uhm~uhm
umh, nisamehe
nisamehe, samehe
ema the boy
nisamehe, samehe

[verse 1 : barakah the prince]
bado nalilia upendo huu
na moyo w~ngu unahisi niliumbwa kukupenda
ila sijui nini kilichonitokea
na haya kuwa malengo oh
kuumiza roho ya mwenzangu, mi naogopa sana
yote ni majaribu, bado ni yangu riziki moyo unasema
naipata tabu, usik~mbuke mabaya
k~mbuka na mema
mwanamke akipenda wee
ujue kama anamaanisha ukweli
anaweza kujiua wee
ukicheza na hisia zake
mola ninusuru wee, nilichotenda si busara
haikuwa haki kwake yeye
naomba nijaribu ya mwisho nafasi
na nimerudi
[chorus : barakah the prince]
ole~oh ole~oh ole~oh ole~oh
na nimerudi
ole~oh ole~oh ole~oh ole~oh
naomba nisamehe, nisamehe
mwenzako mi nifanye nini?
nisamehe
nifanye nini kwako wee
nifanye nini nieleze
nimerudi mama
ole~oh ole~oh ole~oh ole~oh
na nimerudi
ole~oh ole~oh ole~oh ole~oh
naomba nisamehe, nisamehe
mwenzako mi nifanye nini?
nisamehe
nifanye nini kwako wee
nifanye nini nieleze
nimerudi mama

[verse 2 : alikiba]
hivi unajua wajua wewe
kukupenda
mpaka mimi sijielewi waah
i want you back, i am sorry baby
sina nilichopata, nilikotoka baby waah
kero na mashaka tele
ugomvi kutwa nzima
hata na mahaba zile
siwezi nimetoroka
nikakosa na maraha tele
ya kwako nimek~mbuka
kudekwa na kubembelezwa
ninapokasirika
[chorus : barakah the prince]
ole~oh ole~oh ole~oh ole~oh
na nimerudi
ole~oh ole~oh ole~oh ole~oh
naomba nisamehe, nisamehe
mwenzako mi nifanye nini?
nisamehe
nifanye nini kwako wee
nifanye nini nieleze
nimerudi mama

[outro]
nifanye nini ah mama


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...