lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu balaa mc - chura

Loading...

balaa mc ~ chura lyrics/mashairi

#intro

di blo one touch
vindege john wamepata style kuu
mbona siku hizi wanacheza kichwa chini miguu juuu baba
vindege john wamepata style kuu

# pre~chorus
mbona siku hizi wanacheza kichwa chini miguu juuu baba
nipe nipe nipe nipee tenaa,bado bado bado bado sijaona
basi jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura
jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura
hi inakuja na kiuno gani mbona hatari
mbona anakizungusha kama feni yaani hafai dada
love tz ana kiuno gani mbona hatari
muone anakizungusha kama feni yaani hafai dada
#chorus
sijui kabila gani mi nahasi mpaganii
yaani sio powa anavyocheza chura humo ndani
sijui kaja nani jamani hyu chura wa nani
maana anacheza chura kama amepandwa na maruwani
oya basi nipe nipe nipe nipee tenaa,bado bado bado bado sijaona
basi jamani chura we umemuona chura dada chura we umemuona chura
jamani chura we umemuona chura dada chura we umеmuona chura

#verse
jamani huyu dada anacheza chura sio mchеzo
ona kaingia kati kule kaanzisha mizozo
kwa masela nasikia anacheza chura sio mchezo
ona kaingia kati kule kaanzisha mizozo kwa masela
kila mtu anatapa eti ye ni demu weke huyo
chajola anatoa namba chura hataki uyo
nyonyoki kaanzisha zogoo ni demu wake uyoo
father erick anatoa namba chura hataki uyo
masojo anaye anatamba ni demu wake uyoo
father erick anatoa namba chura hataki uyo
wacha bariiaaaaaaa
we dada unachezaje mguu mmoja kushoto
mwengine kulia
fanya kama unainama unaichunguliaa
hunioni kwa mbele mi niko nyumaa
mwanaume nilivyotulia nimesimama wimaa
jamani k~mbe chura chura kisingeli
ukimkuta kwenye dundo yupo kati haelewii
muone kwanza miguu vumbii atulii kama k~mbi k~mbii
kutwa kuzurura mitaani na makundiii
oyaaa wee k~meajaaa uchafuu anatuzinguaa
izo zarau mwambie anaturushiaa tutamkaata
k~meajaaa uchafuu anatuzinguaa eeehhh
izo zarau mwambie anaturushiaa tutamkaata
#hook
watoto wa mabande black saniii
nakubali watoto wa charambe teminaryy
watoto wavikindu mpaka sowetooo ehh
nakubali sana watoto wa kisemvule kijiwe jauu

#outro
wanangu unamuachaje acheze mwenyewe mshikilie kwa nyumaa
mshikilie mbishi ubishane hata akikusuk~maaa
we dada nakubambia hata ukinunaa
sibanduki sich0m~ki nakamatiiaa
tibuduu mpaka chini nakwenda nae basii
akirudi mpaka juu unarudii ndio ubiingwa
akienda mpaka chini nakwenda nae basii
akirudi mpaka juu unarudii ndio ubiingwa
ndio umeng’ang’ania
acha bariaaaaaaaa
aaahhh balaaa mc 26 kipaji ehee
nikiwa vibe record eeehhh
nikiwa na diblo one touch
nakubali san tema ile ile 26 kipajii ehh
meneja small daf
watoto wa mbagal kinondoni mpaka ilala
watoto wachanika nakubali wa toto wa bad hunterz
mtaaa wa mb ooo

by chamazi music


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...