lirik lagu bahati - taniua
mh, emb records
odi wa murang’a mh
genge la boondoksi
na baha taniua mh
masherehe (taniua)
hizi kiherehere (taniua)
dhambi zangu (taniua)
aki we utaniua aah
kesho ni zaidi ya today
mbona unakaa unauliza mbona?
mbona mawazo ya today
jana ulichana sasa ni hangover
kesho ni zaidi ya today
mbona unakaa unauliza mbona?
mbona mawazo ya today
jana ulichana sasa ni hangover
rieng priest naskia unaitwa baha
ju si ni wazing utatuskia hatunaga baha
ju ka ni jing zimeshika mara kadhaa
labda niache mchuma nikaseti kwanza wada
labda niache pupa nikachome kwanza shada
labda niache chingri nisitupe kwanza rada
ama nikateke wale siz wa ibada
kuna matym natamani chana (aaah eeh kuchana)
temptation kiu ya thiang’a (aaah eeh ya thiang’a)
injili yangu inapingwa sana (aaah eeh inapingwa sana)
wakinicheki na odi wa murang’a (aaah eh)
masherehe (taniua)
hizi kiherehere (taniua)
dhambi zangu (taniua)
aki we utaniua aah
kesho ni zaidi ya today
mbona unakaa unauliza mbona?
mbona mawazo ya today
jana ulichana sasa ni hangover
kesho ni zaidi ya today
mbona unakaa unauliza mbona?
mbona mawazo ya today
jana ulichana sasa ni hangover
eloi eloi, mashada fangi gani
kamande wa kioi, tupa gospel hewani
mtoto wa mama before tuanze nina swali
kwa kesi ya mbinguni unaeza nitetea kweli?
mgenge ni mgenge for real (for real)
na njege ni njege for real
ka ushai backslide mi najua unanifeel
sijai toa tithe na mi hukuliwa na guilt
odi huku ni mapitio oh
majaribio ooh
umetoka mbali tega sikio oh
na leo tuko studio
masherehe (taniua)
hizi kiherehere (taniua)
dhambi zangu (taniua)
aki we utaniua ah
kesho ni zaidi ya today
mbona unakaa unauliza mbona?
mbona mawazo ya today
jana ulichana sasa ni hangover
kesho ni zaidi ya today
mbona unakaa unauliza mbona?
mbona mawazo ya today
jana ulichana sasa ni hangover
nilidai holy water nikashika jah
warasta wote ukweli wameumbwa na sir jah
holy communion mi huziletanga na jug
ex w~ngu husema eti labda umenidump
da, da labda uko done
ba, ba labda niko bar
ni kuthokia ju labda niko bank
illumi sema ati labda hii sasha bank
gun, gun, huskii nina gun
ju leo mtua anauliza kama ataban
bang bang washa washa bang
bang turn washa washa burn
masherehe (taniua)
hizi kiherehere (taniua)
dhambi zangu (taniua)
aki we utaniua aah
kesho ni zaidi ya today
mbona unakaa unauliza mbona?
mbona mawazo ya today
jana ulichana sasa ni hangover
kesho ni zaidi ya today
mbona unakaa unauliza mbona?
mbona mawazo ya today
jana ulichana sasa ni hangover
tuna craving ya, neno la bwana
bikra maria tupe rehema
tuna craving ya, neno la bwana
bikra maria tupe rehema
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu josodo - lunatic
- lirik lagu peter gabriel - i/o (dark-side mix)
- lirik lagu lil noflo - hennessy girl
- lirik lagu rustage - phantom troup
- lirik lagu gribin - сияю в негативе (shining in the negative)
- lirik lagu duvy - seeing signs
- lirik lagu daylotus - 우담바라 (優曇婆羅) / udumbara
- lirik lagu intra - downtown baby
- lirik lagu jeremiah watts - hate it or love it
- lirik lagu maja marijana - luckasto