lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu baby 6ix - delete

Loading...

verse 1

alidai kunionyesha magic bila kujua
mi ndo hudinhi
nikamshow mi na cut across na mahali natoka ukristo ndo dini
bro yake anatoka kitale hawezi niskiza bt ye si kiziwi
mi na my friends tulikuanga mishoni ndo tukagundua jirani ni jini
kwa hii life hakunanga balance,wengine wako rich,wengine maskini
time inapass mi nikigrow,too much nimeona
so nacheza chini
na mwambie ka ni love anauza,nikibuy mia mbili ndo juu
kaa iyo bei haezi punguza,ajisort si deal na ma fools
daro mode alidai niko rude juu nilimshow ~n~look ka baboon,mi najua sipendi ku school na ntawashow ni nani anarule
cheki
sipendi kufeel niko sad
pia sipendi kushow najikass
heartbreaks nimepewa ka tisa at form 2
sitaki kulove,so
ka unanishow ma sh~t,mmh,yoh,nakudelete
so kaa unanishow ma sh~t mmh,yoh,nakudelete

chorus

vibrate ni kaa machine
mi na rap bt nyinyi mnasing
kaa ni ganji sikuji solo
we uko one mi nakuja na team
usidhani ntapenda forever
mmh,yoh,mi niko na dream
kaa ni zogo ma ukapi na spin
nilimuacha akilisha huyo dem
nilimpin
nikifeel hauwezi ridhisha na we si
pheona,nakudelete
nikifeel hauwezi ridhisha na we si
pheona nakudelete
verse 2

boom
boom
nakudelete
izo endz nimevalue izo feelings
xai nimechoka na nimerelease
inadepend na mahali umetoka
juu huko home hakunanga peace
izi sh~t hazinanga ajenda
before upende think of a biz
kuna manze alidai siko sobber
na huyo manze kwa jina ni liz’
mi na doubt hii maneno ya mboga
better off dead ama nikule beans
bt still mi niko na dreams
nijenge palace,nifanye degree
nionyeshe talent,wasee wanifeel
all along tunajua itafiko so
usiseme ati”god forbid”
hizi songs mi huanfika ni branded
from the brain hakuna ma gadgets tym itafika zigeuke priceless
{priceless}


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...