lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu avril feat. ommy dimpoz - hello baby

Loading...

(avril):
mwanzo nilimwambia,
akifika tu nairobi, kuna manzi wengi asishangae,
tena nikamwambia,
hata usiku akirudi, kila mtu ajue mi niko naye,
(ommy dimpoz):
mtoto mzuri niko naye,
nampenda leo kesho na baadae,
nimwambie nini mpaka afurahi,
kuwa niko naye,
umbo nzuri hipsi, dont lie,
j-po niko dar nitakuja baadae,
nipe nifurahi,
(avril):
hallo baby, j-po nipo mbali,
naomba penzi langu utambue,
(ommy dimpoz):
hallo baby, wala usijali,
na mimi tunda langu ntunzie,
(avril):
hallo baby, j-po nipo mbali,
naomba penzi langu utambue,
(ommy dimpoz):
hallo baby, wala usijali,
na mimi tunda langu ntunzie,
2(ommy dimpoz):
mapenzi yamenizidia,
mpaka natamani urudi, tuishi wote dar es salamaa,
nahisi kuchanganyikiwa,
kwa huyo binti wa nairobi,
ninachohitaji,
kuishi naye,
(avril):
kijana mzuri niko naye,
nampenda leo, kesho na baadaye,
hata waseme nitadream naye,
hufanya nifurahi,
ana tabia nzuri dont lie,
kwa penzi lake mpaka n-z-rai,
kabla hajafika mimi nishawai,
kweli najidai,
chrous(ommy dimpoz):
hallo baby, wala usijali,
na mimi tunda langu ntunzie,
(avril):
hallo baby, j-po nipo mbali,
naomba penzi langu utambue,
(ommy dimpoz):
hallo baby, wala usijali,
na mimi tunda langu ntunzie,
(avril):
hallo baby, j-po nipo mbali,
naomba penzi langu utambue
bridge(ommy dimpoz):
bas come now,
siukuje now,
wasikirubuni hao, washika dao,
ukanidharau, ukanisahau,
sitakubali, no, no, no,(avril):
hallo baby, j-po nipo mbali,
naomba penzi langu utambue,
(ommy dimpoz):
hallo baby, wala usijali,
na mimi tunda langu ntunzie,
(avril):
hallo baby, j-po nipo mbali,
naomba penzi langu utambue,
(ommy dimpoz):
hallo baby, wala usijali,
na mimi tunda langu ntunzie,
…end…
by dossa


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...