lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu asum garvey - poa

Loading...

(chorus)

leo naskia poa
leo siskii kwenda keja na poa, leo me najitoa
kadem kapoa kaniletea tu shida so me najioa
saa mbona unaniletea food imepoa? baby nang’oa
poa poa poa poa poa poa!
leo siskii kwenda keja na poa, leo me najitoa
kadem kapoa kaniletea tu shida so me najioa
saa mbona unaniletea food imepoa? baby nang’oa
poa poa poa poa poa poa!

(thayu mwas)

bado fom iko poa
na naamka ngware naambia girl me namochoa
ju jana ilikuwa tuzame kulikuwa k~mewaka nare maji ililoa
bash ibambe na coke ni chaser, najikosoa unadhani ni dre, vile beat inaroroa
vile nasmoke, moshi ni thick, weh utakohoa
me nish~gamble na risk, kama si similar biz, me najitoa
itabidi hawa man~ggas wachill, moto utapoa
rada ni swafi, family idishi vipoa
ka ni mpesa, kazi kutoa
ka ni mgеni, viatu atatoa
dem alicome nikidhani ni wa mine
k~mbе ni gold anadai k~mine
kuskia poa ndio alidai kangotha akatoa
(chorus)

leo naskia poa
leo siskii kwenda keja na poa, leo me najitoa
kadem kapoa kaniletea tu shida so me najioa
saa mbona unaniletea food imepoa? baby nang’oa
poa poa poa poa poa poa!
leo siskii kwenda keja na poa, leo me najitoa
kadem kapoa kaniletea tu shida so me najioa
saa mbona unaniletea food imepoa? baby nang’oa
poa poa poa poa poa poa!

(asum garvey)

uji imepoa! ikona mab~lls. alisema, ‘like you!’ manze si poa
tulijitoa kwa bash, vile ilibaki si poa
anadai 1.6, ndai me na buy ni poa
vile anaclaim too much for me joh najiokoa
niko kanenge, pita kwa suu’s, dishi vipoa
dready natoa, sijabomoa, ziko kwa drawer
unakohoa, damu na blowers, sizo natoa
hakuna more, kama it is boa, mimi ndio noah

(chorus)

poa!
leo siskii kwenda keja na poa, leo me najitoa
kadem kapoa kaniletea tu shida so me najioa
saa mbona unaniletea food imepoa? baby nang’oa
poa poa poa poa poa poa!

Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...