lirik lagu aslay - pusha
pusha washa
mi nina stress zimejaa
kwenye kichwa
sogeza kitikaaaa
nikueleze machache yaliyonikuta
kuna kijanaa
ana nisumbua sanaaaa
mke w-ngu raha haaanaa
nyumbani amani hakunaa
iiii iíiii
asidhani mimi mjinga sanaaa
mwenzie naumia roho yangu
nisije baadae mi kupata lawama
nikaharibu cv yangu
mwambieni ama zake ama zangu
mi ntakufa na yeye
nasema
mwambie ama zake ama zangu
mi nitakufa na yeye
mkimuona mwambieeeeni
ama zake ama zangu
nitakufa na yeye
eeeh mwambieni
ama zake ama zangu
nitakufa na yeye
anapitaga kibarazanii
nguo kashusha makalioooni
anajiganya yeye muhuni
wenzie tulianza tisinii
tutabadilidhana majengo ya serikalii
aaahh ahhh
mi niende jelaaa
yeye aende mochwalii iiihh
ahhhh ahhah
iiihi iiihi
asidhani mimi mkimya sana
mwenzie naumia roho yangu
nisije mimi baadae kupata lawama
nikaharibu cv yangu
mwambie ama zake
ama zangu
mimi nitakufa na yeye
mkimuonaaa mwambieeeni
ama zakeee
ama zanguuu
mimi niyakufa na yeye
mwambieeeni
ama zake
ama zangu
mimi nitakifa na yeye
aiiiyoooa iyooo aiiyóyo
huwaga sipendagi dharau
aiiiyooo aiyooo aiiyóyoo
mwambie anajisahau
aiiiyooo aiyoo aiiyóyoo
tutachukiaaanaaa mamamamama
aiiiyooo aiyoo aiiyóyoo
tutapeana lawana sana oohoooo
aahaaaa
end
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu mesonjixx - motion
- lirik lagu 강전한 - 너는 없다
- lirik lagu riquelme - vida insiste prod. rxvn
- lirik lagu smrtdeath - on my own
- lirik lagu hate drugs - on my own
- lirik lagu michel sardou - et alors !
- lirik lagu epik high - 빈차 (home is far away)
- lirik lagu peer pressure - brother
- lirik lagu stalley - purpose & flow
- lirik lagu anakin artz - the feels