lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu aslay - bora nife

Loading...

[verse 1: aslay]
mwili umejaa vidonda donda
kisa kupenda, aah
naitwa bwege naishi kwa kuonga onga
sabuni chooni namaliza mimi kwanini jamani
kama mwajuma nilimpa simu cha ajabu kanipora
salima hataki mapenzi anataka pochi
magugu avelina baada ya k-mpa gari eti hanitaki
nguvu sina eeh wolololo

[chorus: aslay]
aai, bora nife
huenda nitagomoka pengine, mmh
aai, bora nife
huenda nitagomoka pengine
kwani nasubiri nini duniani
nasubiri nini, mmh
kwani nasubiri nini duniani
nasubiri nini

[verse 2: bahati & aslay]
aai, nilimpendanga mwenzangu akaumiza roho yangu tu
‘kaniwazisha niwe padri nihudumie kanisani
aah, ooh, aah
nikaogopa mapenzi tu
tena usije unasumbuka kutoa uhai (ni ya nini?)
sijamlaumu wala kuwacha zamani (zamani)
ukikata na roho utajibu nini siku ya kiama
kama diana
nimempa simu cha ajabu kanipora
aai, penina
hataki mapenzi anataka pochi
mama ivana
baada ya k-mpa gari eti hanitaki
nguvu sina (wolololo)
nguvu sina, eeh

[chorus: bahati, aslay, both]
aai, bora nife (bora nife)
huenda nitagomoka pengine (labda nitagomoka, eeh eeh)
aai, bora nife (wololo wololo)
huenda nitagomoka pengine
usiseme, usiseme
unasubiri nini? (nasubiri nini)
duniani (nasubiri nini)
nasubiri nini? (nasubiri nini, eeh)
usiseme unasubiri nini
duniani (nasubiri nini)

[bridge: aslay]
‘j-pokuwa hujaniwishi kwenye birthday yangu
ila usikose mazishi kwenye msiba w-ngu woah, woah
‘j-pokuwa hujaniwishi kwenye birthday yangu
ila usikose mazishi siku ya msiba w-ngu


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...