lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu asflame - kwanini

Loading...

hey , hey na na na na na na
hey , hey ..

kabisa umekwenda mbali sana
ata ahadi uk~mbuki tena
ni siku zakutosha sija kuona
ndomana kila saa mi nakuwaza
wajuwa nikihasi gani
naumia mpaka nakuimbia aya
hisia za mapenzi kichwani
zanijia hasa ninapo kuwaza

pre chorus:

ninae mpenda sikatai ni wewe
kama kipi nifanye ili niwe tena nawe x2

chorus :

he he eee eee!
kwanini umeniacha umekwenda
he he eee eee! ila jua nakupenda x2

verse 2 :
ona unavyo nifanyia , sio mamaa
kama nimekosa , bora unge nambia
palipo huu kunitesa moyo
bora ungenieleza
lile donda kuumiza mtima
usinge tonesha
haswa nieleze kipi na mkasa
kilicho fanya ukaondoka
mpaka leo nauliza shoga zako
baada ya kujibu wanacheka
heyy baby tambuwa kwamba

pre chorus:

ninae mpenda sikatai ni wewe
kama kipi nifanye ili niwe tena nawee

chorus:

he he eee eee
kwanini umeniacha umekwenda
he he eee eee
ila jua nakupenda x2


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...