lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu arrow bwoy - raha

Loading...

baby you can lean on my shoulder
(vicky pon dis)
everytime you ah feel low low
baby you can call me your soldier
stataka nikuwche we solo
mapenzi matamu bana
sijazoea kubembelezwa
unavyondekeza bwana
mmmh
tupendane nkupe wana
kila safari na lola wakuite
na wewe baba
mmmh

ni vingi tumepitia
matusi na wivu nimejionea nikavumilia
jina na pesa nilizopata
na mimi nikakuvimbia
ila kwako sitoki
nishapata wakufa kuzikwa
mwenzangu kwa kweli siondoki
jamani kupendwa raha (raha)
kupendwa nawewe ali
kupendwa raha (raha)
isiyo pitiliza
jamani kupendwa raha (raha)
kupendwa nawewe sherii
kupendwa raha (raha)
eey ooh
love is a beautiful thing
ukipata unaye mpenda
walaai is a wonderful thing, baby mmh
nadia my my beautiful thing ooh
kwa penzi lalo mimi nimeloa
ndakukunda my beibii uuuuh eeeeh
forever my baby aah
tofauti zetu tuziweke kando
ukiniacha nitadedi aah, baby iyoyo
milima na mabonde aah
nimepanda nikashuka
bado mi narudi kwako aah
mi nadi kwako baby
jamani kupendwa raha (raha)
kupendwa nawewe sherii
kupendwa raha (raha)
eey ooh
jamani kupendwa raha (raha)
kupendwa nawewe ali
kupendwa raha (raha)
isiyo pitiliza
baby you can lean on my shoulder
everytime you ah feel low low
baby you can call me your soldier
stataka nikuwache we solo
jamani kupendwa raha (raha)
nadia nik~mbatie
baby kupendwa raha (raha)
my mama mama ma
vile menapendwa (raha)
baby tease me, tease me baby
raha isiyo pitiliza
(vicky pon dis)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...