
lirik lagu arenare - yammi
[intro]
yammi yammi
nilikuona nikiona kwa baba na mama
sio kwa umri huu
nilikuwa nikiyatazama
kwenye tv tu
[verse 1]
kama alkaida (kaida)
mahaba so kawaida
nna kila sababu
nitangaze mumwone
moyo kauiba (kaiba)
anapanga yeye ratiba
bure mnajipa tabu
kununa nuna msonone
[pre chorus]
jahazi pe
jahazi pepea
wape salamu vyote visiwa
nimetah tah, nimetwaliwa
na mambo matamu, asali na maziwa
na nimetekwa, kutoka siwezi toka
aah, nimeshikika kama pesa mapesa
na nimetekwa, kutoka siwezi toka
aah, nimeshikika kama pesa mapesa
[chorus]
eti nimwache, nimuachie nani (arenarena)
simwachi abadani (arenarena)
eti nimwache, nimuachie jirani (arenarena)
simwachi abadani (arenarena)
[verse 2]
na hili joto, nkufute majosha oooh dia
usiishie kula kwa macho, ndani ingia
uguse kikupendezacho my dia
uniwaze ulalapo ukisinzia
[pre chorus]
jahazi pe
jahazi pepea
wape salamu vyote visiwa
nimetah tah, nimetwaliwa
na mambo matamu, asali na maziwa
na nimetekwa, kutoka siwezi toka
aah, nimeshikika kama pesa mapesa
na nimetekwa, kutoka siwezi toka
aah, nimeshikika kama pesa mapesa
[chorus]
eti nimwache, nimuachie nani (arenarena)
simwachi abadani (arenarena)
eti nimwache, nimuachie jirani (arenarena)
simwachi abadani (arenarena)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu yung bruh like young women - matt proxy
- lirik lagu everybody's gone - guano c
- lirik lagu hortex (tymbark diss) - alekset
- lirik lagu 8 mile - toujour
- lirik lagu senegal - skandal
- lirik lagu horseshoes (up my ass) - vampire beach babes
- lirik lagu one thing i ask - tres hermanas
- lirik lagu gbs - chill horse
- lirik lagu extreme rules - jobber
- lirik lagu another world - trapoz