![lirik.web.id](https://lirik.web.id/tema/logo.png)
lirik lagu anyasi ekhuya - unisikie bwana
ewe bwana niongoze
katika safari yangu
usiniache kwa yule mwovu
nifundishe kutembea katika njia yako
(nipitapo nyikani
usiniache kamwe
nisife moyo
kwenye bonde la kivuli cha kifo
uwe mlinzi w~ngu)
ewe bwana uniongoze
niende kwa mwendo wa imani
nikijua wewe ndiwe yote kw~ngu
na maisha yangu ni yako
(ninakutegemea wewe)
ninakutumaini wewe
(ninakusifu wewe)
ee bwana (wewe ndiwe mungu w~ngu)
(nipitapo nyikani
usiniache kamwe
nisife moyo
kwenye bonde la kivuli cha kifo
uwe mlinzi w~ngu)
ewe bwana niongoze
nipate kufika kwa wokovu wako
nijue wewe ndiwe njia
na maisha yangu ni yako
ninakutegemea wewe
(ninakutumaini wewe)
ninakusifu wewe
(wewe bwana wewe ndiwe mungu w~ngu)
ewe bwana niongoze
(nipate kufika kwa wokovu wako
nijue wewe ndiwe njia
na maisha yangu ni yako)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu nate curry - we good
- lirik lagu дрель (drel) - краса
- lirik lagu sarantos - starting over
- lirik lagu lil peri - feel me
- lirik lagu gleason - his name is hank
- lirik lagu pema - dptv
- lirik lagu kępiński kowalonek - kintsugi
- lirik lagu enry-k & mishii - surf en suances
- lirik lagu ironic bob - ironic bob (skit) [2024]
- lirik lagu aura dies - dandruff