lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu andy mwag - rafiki badilika

Loading...

verse 1:
chuki ni mbaya
huleta fitina
penye riziki
hapakosi wivu
kama makini
wew
don’t trust n0body
don’t believe them
wa yuda ni wengi
ukitoka tu wana talk
masikio skia
mdumo w~ngu
kaa kimya
macho yangu
ona mbali eeeeh eeeee

chorus:
oooh rafiki
badilika (2fois)
badilisha mwenendo
badilika (2fois)

verse 2:
waulimwengu
wana maneno mengi
ku ishi nao
kweli taabu
be careful ooh ndugu
rafiki mnafiki si rafiki
ukikosa tu anakukwepa
ukipata njo utamuona
be careful ooh ndugu
badiliiiiiiiiiiika
chorus:
oooh rafiki
badilika (2fois)
badilisha mwenendo
badilika


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...