lirik lagu andy mburu - ananijali
nimeomba
(i have prayed)
tena sio mara moja,
(and not just once)
kwa roho na kwa kweli,
(in spirit and in truth)
bali sij-pata,
(yet i have not received)
majibu yangu kuyaona,
(my answers to see)
adui, shetani mwongo,
(the enemy, satan the liar)
asema ya kwamba mwenyezi mungu yeye hanijali,
(says that almighty god does not care for me)
bali, siwezi sitomkubali,
(yet, i cannot, i will not agree)
niyayo hakikisho, ya kweli ninajua,
(i am certain that truly i know).
ananijali (he cares for me)
sitokubali, kuzama kwenye maji,
(i will not agree to sink in the waters)
ananipenda (he loves me)
yeye ni mwema
(he is good)
ni za dunia, (earthly)
zangu hizi shida, (are my troubles)
hanitanizuia kukutumikia, (they won’t keep me from serving you)
nitafuata mimi hiyo njia, ya kweli na uzima,
(i will follow that way, of truth and life)
kwani, ulisema yote yamekwisha,
(for you said, it is all finished)
sitababaishwa, (i will not fret)
ninajua yatapita, (i know they will p-ss)
kwani, baada ya usiku giza, (for, after a dark night)
ninayo hakikisho, asubuhi itafika,
(i am certain that morning will arrive)
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu unha pintada - coração do maloqueiro
- lirik lagu angel du$t - five
- lirik lagu eliezer - wont slow
- lirik lagu yaseer desai - itna tumhe
- lirik lagu banco del mutuo soccorso - i ruderi del gulag
- lirik lagu sir reg - dublin city
- lirik lagu luke - danse dans la nuit
- lirik lagu ufo361 - stay high 2.0
- lirik lagu léo magalhães - fogo e paixão
- lirik lagu charlie winston - feeling stop