lirik lagu alikiba - zaidi yangu
[verse 1]
si unaelewa wazi mi ni kaka yako, so unapaswa ushike adabu yako
huyu ni shemeji yako, na mimi hapa ni kaka yako
soo, unaojifanya shababi wewee
wakati wewe ni mdogo w~ngu na huyu demu mi ni dem w~ngu
inshallah, jua mi namuachia mola
kwani yeye ndiye anayejua
anayepanga na kubomoa
inshallah, jua mi nimekulea
mikononi umenichafua
na nguo zako mi nimefua
[pre chorus]
je, nikufanyie nini wewe
mi ntakufanya nini wewe
wewee ndugu yangu
[chorus]
sura ya kuinama dimples (zaidi yangu)
mwili wako una uvuto (zaidi yangu)
mwenye s~xy body kama tuslim (zaidi yangu)
uzuri wako umenifunika (zaidi yangu)
sura ya kuinama dimples (zaidi yangu)
na mwili wako una uvuto (zaidi yangu)
mwenye s~xy body kama kogi (zaidi yangu)
uzuri wako umenifunyeei
[hook]
aye (oh lalalila), oh lalila (ayee)
oh ayee (ayee, ndugu w~ngu)
noo ai, noo ai, ayee ndugu w~nguu
[verse 2]
long time mama mea mzito
kipindi kaka yako nilikuepo
wakati wewe mtoto hapo
uko tumbonii mwa mama yako
kwa dua nyingi niliomba
upate toka salama
leo unanitukana
lakini mimi namwachia mola
sura nzuri, watembea vizuri
unamaj mazuri unadrive mashary
au unataka shemeji zako wewe
kweli mapenzi hayana mwenyewe
we u ndugu wewe, ayee, ndugu w~ngu
wewee, ndugu w~nguu, wewe, kipenzi cha roho yangu
[pre~chorus]
so unajifanya shababi wewe
wakati wewe ni mdogo w~ngu
na huyu dem mi ni dem w~ngu
[chorus]
sura ya kuinama dimples (zaidi yangu)
mwili wako una uvuto (zaidi yangu)
mwenye s~xy body kama tuslim (zaidi yangu)
uzuri wako umenifunika (zaidi yangu)
sura ya kuinama dimples (zaidi yangu)
na mwili wako una uvuto (zaidi yangu)
mwenye s~xy body kama ogi (zaidi yangu)
uzuri wako umenieei
[hook]
aye (oh lalalila), oh lalila (ayee)
oh ayee (ayee, ndugu w~ngu)
noo ai, noo ai, ayee ndugu w~nguu
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu spalexma - stop in the name of god (female version)
- lirik lagu castlebeat - torn up
- lirik lagu re3f - magic tricks
- lirik lagu maje (us) - cope
- lirik lagu madonna - give me all your luvin' (radio edit)
- lirik lagu susan levine - almost september
- lirik lagu rosesia & stonesowavy! - sleep well, my love (acapella.)
- lirik lagu byron lee and the dragonaires - kissin' gal
- lirik lagu fl!p (yt) & jackal (yt) - psycho
- lirik lagu styofan - игра (game)