lirik lagu alikiba - infidèle
Loading...
ilibidi tu nijiongeze, niliisha
pia bora nijipongeze, naonayamekwisha
lakini uliniweza maskini, uliniweza mie ukanijua
nilipungua sana bwana, ninatubu mnanicheka
ukantawala moyo ukauchukua, bila aibu ukanitesa
k~mbe ni liar, unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako wewe
k~mbe ni liar, unaweza niacha mi niuliwe na mabwana zako
bora nikuache we uende, nami niende
tusiishi kizembe eh, niache mawenge
bora uende, nami niende
tusiishi kizembe eh, niache mawenge ah aah
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu knightressm1 - force of nature
- lirik lagu new related - the rain
- lirik lagu tre wavvy - finna get nasty
- lirik lagu king "dj eze" - on sight (feat. dyllyn) (remix)
- lirik lagu ray adhitya - samar
- lirik lagu foo fighters - medicine at midnight
- lirik lagu gd , l ak - it’s up
- lirik lagu eva weel skram - tom snart ti
- lirik lagu lofi legs - dreamin
- lirik lagu questy - wszyscy z wyjątkiem ciebie