lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu alikiba - acoustic

Loading...

intro
yeah!
yeah, baba
(la~la, la~la~la~la, la~la, la~la~la~la)
(mafeeling make it)
verse
najiona wa ajabu, eh
nikijitazama, hivi naota, ah, ama nachanganyikiwa?
joto nalo lashuka degree, waliniliza tbt
na moyo w~ngu nishakupana
chorus
na wewe ndio nahodha wa meli yangu
huhitaji cv, oh~oh~oh
atukinge ya ilahi tuwe salama, ah
atuepushe na mabaya ya wengine
hook
maana, najiona, nachanganyikiwa, oh, nyikiwa
ndama, nanona, nanyonyeshwa maziwa, oh, maziwa, o~ho
(la~la, la~la~la~la, la~la, la~la~la~la)
verse
ah! kama mapenzi ni jihad, tuko peponi
kwa jinsi tulivyopambana na hali, yetu rohoni
kuna vijibe vya nafsi ya wale waroho, oh, waroho
wanaosubiri tuachane hata kesho, sisi bado
bridge
sisi bado (la~la, la~la~la~la)
oh~oh~oh
oh, sisi bado (la~la) kuachana sisi bado (kuachana sisi bado)
sisi bado, oh, oh, oh, ooh, woah
sisi bado, oh~oh
chorus
kwani na wewe ndio nahodha wa meli yangu
huhitaji cv, oh~oh~oh
atukinge ya ilahi tuwe salama, ah
atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
hook
maana, najiona, nachanganyikiwa ′oh, nyikiwa
ndama, nanona, nanyonyeshwa maziwa, oh, maziwa, o~ho
(la~la, la~la~la~la, la~la, la~la~la~la)
outro
(la~la, la~la~la~la, la~la, la~la~la~la)
(the mix k!ller)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...