lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu alicia keys remix - 4mr frank white

Loading...

[intro]
namwita alicia juu ye ndo ako na keys
chilling kwa hood baby unapata peace
unakuanga so fly kama carpet ya alladin
aaai, m n jini so make any wish
nadoo any sh~t juu nataka kukuplease ma
aaai, juu nataka kukuplease
nadoo any sh~t juu nataka kukuplease ma
aai, juu nataka kukuplease aai

[verse 1]
namwita alicia juu ye ndo ako na keys
chilling kwa hood baby unapata peace
unakuanga so fly kama carpet ya alladin
aaai, m n jini so make any wish
nadoo any sh~t juu nataka kukuplease ma
aaai, juu nataka kukuplease
nadoo any sh~t juu nataka kukuplease ma
aai, juu nataka kukuplease aai

[chorus]
she a ten like times
lakini joh ni peng’ so ni ten times ten
cjai kuwa kafde bro
maybe kwa cell
amefall for a thug kwa sherili can’t tell
amechochwa na mafala aty nadai shantel
ametoka umbogina anadai nipush dinner
bro niko broke na anataka twende dinner
bills on me, na paycheck sina
make a wish nakam kijohn cena
nakuanga left ringer, mans mi ni sat
money tu sina, sina, sina
ni money tu sina…’kay
[verse 2]
skia
namwita alicia juu ye ndo ako na keys
nakudigi sana ningetaka kukuplease
mdadi iradi yangu nijikute on my knees
tutoroke joh kwa beach, n~z~ hivi na kabreeze
na baby all day, kama fity wap ungekam my way
sato ni kuchill tutokee sunday
na ungekuwa ngoma nikuplay all day
on my mind all day ka iyaz replay
na we jua tu ni true
matym unanihitaji c unajua ni imprompt tu
matym tumekosana naskianga tu uduu
na kitu mi ntadoo ni my love tu kuproove
nikuonyeshe joh ni true, joh ni true
ah ah, aty ni true, ah ah aty ni true
na kitu mi ntadoo ni my love tu kuproove
nkuonyeshe joh n true

[outro]
namwita alicia juu ye ndo ako na keys
chilling kwa hood baby unapata peace
unakuanga so fly kama carpet ya alladin
aaai, m n jini so make any wish
nadoo any sh~t juu nataka kukuplease ma
aaai, juu nataka kukuplease
nadoo any sh~t juu nataka kukuplease ma
aai, juu nataka kukuplease aai
namwita alicia juu ye ndo ako na keys
chilling kwa hood baby unapata peace
unakuanga so fly kama carpet ya alladin
aaai, m n jini so make any wish
nadoo any sh~t juu nataka kukuplease ma
aaai, juu nataka kukuplease
nadoo any sh~t juu nataka kukuplease ma
aai, juu nataka kukuplease aai


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...