lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu alice otieno - tulia

Loading...

tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah

tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia tulia aaah tulia

nivigumu anajua

tumezoea kujitumainia

lakini nguvu zetu

haziwezi tosha

vita vyetu si vya dunia

ye hataki hela

hataki mwenye cheo

ni wewe tu k~muaminia

atakuponya atakulinda

atakuonyesha ye astahili sifa

moyo w~ngu tulia

usichoke tulia

anafika tulia

atakushika tulia

moyo w~ngu tulia

amani yake ipo sasa

na yeye anaweza

imani paza sauti


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...