lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ali kiba - ubuyu

Loading...

[intro]
ubuyu umenikaba
napaliwaa
yule mama, mwenye nyumba mama
yule mama, wema mama

[verse 1]
yule mama anapenda sana vitoto
yule mama anawaharibi watoto
yule mama anapenda sana vitoto
yule mama wema mama
anafungua kila siku hadharani
anabana na vichochoro mie
ana nyumba ila kwake hakai
ila siku wana vichochoro mie

[chorus]
wananmpeleka mpaka chooni ee
wananmpeleka mpaka sokoni ee
wananmpeleka mpaka chuoni ee
huyo, huyo, huyo, huyo, huyo

[verse 2]
na yule mama ibraa
pale chini mpakani ee
ndanyono toto wawili
si wa jamani ni wa jirani
[chorus]
wanaongozana mpaka chooni ee
wananmpeleka mpaka sokoni ee
si si kama si hatuoni ee
wanapokezana maskami ee

[refrain]
huyo, huyo, huyo
huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
huyo, huyo, huyo
huyo, huyo, huyo, huyo, huyo

[verse 3]
nato~ tongozana jana tu
eti leo birthday yake
simu za siku kununuliana luku
hatumi mita namba yake
si aseme kama yuko sokoni ee
mana vimacho~macho, macho mf~koni ee
si aseme yuko sokoni ee
tumpeleke moto shimoni ee

[refrain]
huyo, huyo, huyo
huyo, huyo, huyo, huyo, huyo
huyo, huyo, huyo
huyo, huyo, huyo, huyo, huyo

[verse 4]
ubuyu umenikaba
leo naumwaga hadharani ee
watu wana tabia mbaya
wanamzidi hata shetani ee
watu wana tabia mbaya
wanamzidi hata shetani
wote motoni ee, sijamuona wa peoni ee
wote motoni ee, sijamuona wa peponi ee
si aseme yuko sokoni ee


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...