lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ali kiba - top notch

Loading...

[intro]
yo!
(laughs)
oh, oh…
[?]

[verse 1: marioo]
asubuhi ananiitaga, “my love”
mchana ananiitaga “baby, baby”
usiku ananiitaga, “wa ubavu”
ah
halafu mi mwenyewe mi
ye ndio tamu yangu
ah
akiamkaga anasema “ananipenda”
hawezi kuniacha
hata apewe nini
hawezi kunia~
amesema mi wa mwisho kunipenda
hawezi kuniacha
ah
hata apewe nini
hataki kuniacha

[chorus: alikiba]
from the head to the toe
we bado ni top notch
baby girl, nikiwa kwako najipata
i’m a city boy, ila we ni master
ukigusa, ukiniita
yaani tamu, tamu
from the head to the toe
we bado ni top notch
baby girl, nikiwa kwako najipata
i’m a city boy, ila we ni master
(yeah, yeah)
ukigusa, ukiniita
yaani tamu, tamu
[verse 2: alikiba]
shikamoo, shika roho
je m’appelle, ‘ali k
wacha uone na kuganda, nakupenda ‘kama holiday
kwanza unavyo nipea, mambo mazuri, mambo yeah
kuna level i wanna show you
loving you i swear and i dare
yeah
unawaringia, ringia
ukiona w~n~lia, wanaumia
usipagawe na madudu
kwani mi ndio baba yao
ah, okay baby, ‘ringa, nivimbe
(?) daddy, your one body
(?) n0body, your my body, you’re my fantasy
you’re my everything, girl

[chorus: alikiba]
from the head to the toe
we bado ni top notch
baby girl, nikiwa kwako najipata
i’m a city boy, ila we ni master
ukigusa, ukiniita
yaani tamu

[post~chorus]
balaa
balaa
balaa
yeah
balaa
balaa
top notch
balaa
balaa
balaa
yeah, iye
balaa
balaa
top notch
balaa
balaa
balaa
yeah
balaa
balaa
top notch
balaa
balaa
balaa
yeah, iye, yah
balaa
balaa
(the mix k!ller)
top notch


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...