lirik.web.id
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

lirik lagu ali kiba - tile

Loading...

yeeahhh
ye baba
nilisimama kwa mbali
tile nikaona hutanik~mbuka
vile nilivyo badilika aah
nitaku abisha~aaah
nilivyokua mwanzo
na wee ukanitafuta
pesa nyingi nilishika~ahh
leo nadhalilika
ni miaka mingi
hata ukini tathimini
hali yangu si thamani
inaonesha
sinalo tena
walinitenda si vyema leo
hata pakushika~ahh
sina
hata musa aliomba sana
mola akamvusha bahari, tile
hata mimi niliomba sana mola
nikutane na wee tena tile
tile
oh tile
oooh~ooh
niokoee
natapatapa
oh tilee yoo
tile mahelaa
tile~ee (oh~ooh)
usiogope tile
tile mini mpole sana
hata kipindi tuna raha
unalala nikikuimbia~aah
eti simba
simba sifa simba ~n~liwa
simba anafugwa tile simba
anazaa bado anazaliwa simba
nimek~miss sana toka tumeachana
mpaka nimepungua tile
kwa kufikiria
sasa tema mate (tema matee)
ya nyuma yapite
tukate utepe
na tuanze upya tena ilaa
hata musa aliomba sana
mola akamvusha bahari tile
hata mimi niliomba sana mola
nikutane na wee tena tile
tile
oh tilе
oooh~ooh
niokoee
natapatapa
oh tilee yoo
tile mahelaa
tile~ee (oh~ooh)


Lirik lagu lainnya:

LIRIK YANG LAGI HITS MINGGU INI

Loading...