lirik lagu ali kiba - sumu
yeah
aloooohh
ababaah
sounds by abbah
mke wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali
mume wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali eeh eeh
eh aah aaaah kuna jela
noma sana
aah aaaah kuna jela
sawa unakula bata
kula bata ila deni langu hunilipi aah uhmm
we unakula raha
ni nina njaa kale kadeni kangu hunilipi aaah
aaah aaah kuna kesho
ujue unaniburuga yelelee
we si unanivuruga sawa
ujue unaniconfuse yelelee
acha tu nile bati sawa
sisi sio milima tutakufana
sisi ni people tutaonana
si sio visima tutasomana
tukiwa kama people kitaumana umana
mke wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali
mume wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali eeh eeh
eh aah aaaah kuna jela
noma sana
aah aaaah kuna jela
mi ninachojua pesa karatasi eeh
mi ninachojua
mi ninachojua pesa karatasi eeh
mi ninachojua pesa karatasi
mi ninachojua pesa karatasi eeh
ni maua
wale walosema hutiboi leo wako wapi
walosema hutoboi leo wako wapi
eeh wapite kule, wapite kule kule kule
wapite kule
wale walosema hutiboi leo wako wapi
walosema hutoboi leo wako wapi
eeh wapite kule, wapite kule kule kule
wapite kule
sisi sio milima tutakufana
sisi ni people tutaonana
si sio visima tutasomana
tukiwa kama people kitaumana umana
mke wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali
mume wa mtu tu tu tu tu sumu
kwenye jambo la mtu tu tu tu tu tu
kaa mbali eeh eeh
eh aah aaaah kuna jela
noma sana
aah aaaah kuna jela
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu zorica marković - da ti nisam usne dala
- lirik lagu sixtones - ラ・ラ・ラ・ラブストーリー (la-la-la-love story)
- lirik lagu aircraft - aeria
- lirik lagu scars [edinburgh] - obsessions
- lirik lagu robert berry - dirty world
- lirik lagu voxbyy10k - what yall wanna do?
- lirik lagu lil pop (gr) - marijuana
- lirik lagu kabza de small & dj maphorisa - mniki we mali
- lirik lagu hayes warner - like you're in mine
- lirik lagu white witch - crystalize and realize