lirik lagu ali kiba - nahodha (acoustic)
[intro]
yo!
yeah, baba
(instrumentals)
na~na~na
na~na, na~na, na
na~na
ma feeling make it
na~na, na~na, na
[verse 1]
najiona wa ajabu, eh
nikijitazama
hivi naota, ah
ama nachanganyikiwa?
joto nalo la shuka digiri
waliniliza tbt
na moyo w~ngu nishakupa na’
[chorus]
na wewe ndio nahodha
wa meli yangu
uhitaji cv, woah, oh
hata ukinge [?]
tuwe salama, ah
atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
[post~chorus]
maana, najiona
nachanganyikiwa ‘oh, nyikiwa
ndama, nanona
na nyonyeshwa maziwa, ‘oh, maziwa
oh, ah
[bridge]
na~na~na
na~na, na~na, na
na~na
na~na, na~na, na
(ah!)
[verse 2]
kama mapenzi ni jihad
tuko peponi
kwa jinsi tulivyo pambana na hali, ‘yetu rohoni
kuna vijibe vya nafsi ya wale waroho, oh, waroho
wanaosubiri tuachane hata kesho
sisi bado
[pre~chorus]
sisi bado (na~na~na, na~na, na~na, na)
oh, oh, oh
oh, sisi bado (na~na~na, na~na, na~na, na)
kuachana sisi bado
sisi bado, woah, woah, oh, wah
sisi bado, woah, woah
[chorus]
kwani na wewe ndio nahodha
wa meli yangu
uhitaji cv, woah, oh
hata ukinge [?]
tuwe salama, ah
atuepushe na mabaya ya wengine, yeah
[post~chorus]
maana, najiona
nachanganyikiwa ‘oh, nyikiwa
ndama, nanona
na nyonyeshwa maziwa, ‘oh, maziwa
oh, ah
[bridge]
na~na~na
na~na, na~na, na
na~na
na~na, na~na, na
[outro]
na~na~na
na~na, na~na, na
na~na
na~na, na~na, na
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu ally dean - 2002
- lirik lagu collinz music - go out and fuck it up
- lirik lagu rico ray (usa) - heavy
- lirik lagu fck famous group - якби ви знали паничі (if you knew panychi)
- lirik lagu obe dia - abgrund
- lirik lagu kalazh44 - gerüchte
- lirik lagu pedja - trapstar
- lirik lagu *justunique* - thriller'
- lirik lagu haley mae campbell - paradise
- lirik lagu benab - à jamais