
lirik lagu ali kiba - mwana
[verse 1]
mali ni nyingi nyumbani kipi kimekukimbiza
ona babio mamio wote wanakulilia
mtoto peke yako nyumbani kipi kimekukimbiza
ona babio mamio wote wanakulilia
ndani ya dar es salaame ulikuja bure
tena kimwana kimwana hujui kuchuna
na zile lawama za wale waliokuzoweza
ulikuja jana na leo tofauti sana
tena bora yule wa jana, wa leo tofauti sana
dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
tena bora yule wa jana, wa jana leo wa jana
dakika mbili mbele nyuma kichwa kinauma
[chorus]
mbona unawatesa sana
omamee omamee omamee yaya mamee
omamee omamee omamee yaya mamee
mbona unawatesa sana
omamee omamee omamee yaya mamee
omamee omamee omamee yaya mamee
[verse 2]
ukaanza kulewa madawa kuvuta kwa sana
ndani ya dar es salaam mambo mataam hayakukuisha
we bado mtoto kwa mama hujayajua mengi
mwenda tezi na omo marejeo ngamani
amesema sana mama dunia tambara bovu
kuna asali na shubiri, ujana giza na nuru
we mwana wewe mwana, mwana jeuri sana
ulichokifuata huku pata, umekosa ulivyoacha
kwa baba yako mwana, na mama yako mwana
kwa vichache ulivyo vitaka, nivingi ulivyoacha
[chorus]
mbona unjitesa sana
omamee omamee omamee yaya mamee
omamee omamee omamee yaya mamee
mbona unawatesa sana
omamee omamee omamee yaya mamee
omamee omamee omamee yaya mamee
[bridge]
right, man walter
chiks vallo, combinenga
pertio loso guitar
unaleta lawama, wewe unaleta lawama
unaleta lawama, wewe unaleta lawama
we mwana uwooo
uchungu wa mwana aujuae mzazii
siku zote milele
~n~liaaa ooh
kutwa nzima ~n~lalama iyee
obaba mama yakoo
we mwana rudieee
watafurahi wakikuona
umerejea salamaa
[chorus]
omamee omamee omamee yaya mamee
omamee omamee omamee yaya mamee
omamee omamee omamee yaya mamee
omamee omamee omamee yaya mamee
Lirik lagu lainnya:
- lirik lagu lafayette's bayou boys - hey baby
- lirik lagu فارس سكر - hashrably ezaza - هشربلي إزازة - fares sokar
- lirik lagu guy2bezbar - diplomate
- lirik lagu uncle-x - ibm
- lirik lagu victoria canal - chamomile
- lirik lagu red flags - made of glass
- lirik lagu the phoenix within - sharks
- lirik lagu v ghost6 - fapta
- lirik lagu suki goth - pixels collide
- lirik lagu yungmiqu - na fánena